Search results

  1. Think Global RC

    tunduma pachafuka

    Mwanzo mzuri wazambia, nguvu ya umma haizimwi na mabomu.
  2. Think Global RC

    Matokeo ya national audit

    Ngoja tusubiri wazee, no hurry in tz government.
  3. Think Global RC

    Kuitwa katika Usaili-Sekretariet ya Ajira

    Thanx man, kip it up katika kutuhabarisha. sasa naona uprincipal unanukia.
  4. Think Global RC

    Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

    Kata ya pamba - nyamagana, inaonekana chadema wameshinda lakini hawataki kutoa matokeo. sasa watu wanaandama kushinikiza watangaze matokeo. waliokaribu watusaidie kuzuia uchakachuaji. muhimu sana wakuu
  5. Think Global RC

    Cheche za Fikra: "Mtanange wa Demokrasia" Toleo la 45

    Thanx much for cheche, this iz da right tym to rise again.
  6. Think Global RC

    The road towards 2010 Elections

    Dr Silaa anatufaa sana watanzania, seems to be more serious kwenye maslahi ya nchi yetu.
  7. Think Global RC

    Hatimaye JK atembelea Bugando hospital

    Nimetaarifiwa kuwa Muda si mrefu rais JK ataingia hospital ya bugando mwanza kuwaona majeruhi wa ukerewe na wale askari waliopata ajali shinyanga. Yeyote aliyekaribu na maeneo hayo atupe kinachoendelea please.
  8. Think Global RC

    Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?

    wakuu wa kaya nawezaje kupata nakala ya cheche no 40. nimejaribu kuitafuta bila mafanikio. niwezesheni wazee. asante mwanakijiji kwa jitihada zako. we really need changes,
  9. Think Global RC

    CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

    mkuu tupe logistic za kufungua, naona kila mtu inamgomea. wats ups mkuu wa kaya
  10. Think Global RC

    DC atuma polisi kutekeleza amri

    mkuu sasa ni vita au nn kitaenda kuendelea huko kati ya wananchi na hao polisi. jus kip us informed. heshima mbele habarindiyohiyo
  11. Think Global RC

    Nambari/Anwani za Richard wa Big Brother

    Richard Dyle Bezuidenhout [19] (born August 10, 1982) is a student from Ilala, Tanzania. you can visit his web http://www.richardbba2winner.com CONTACT HIM THROUGH info@richardbba2winner.com For business enquiries contact: marketing@richardbba2winner.com Fans can...
  12. Think Global RC

    Falsafa Yetu

    mkuu uko vizuri,naomba nikutafute ili tukuweke mahali pa utekelezaji. wor out contact zako ninazo mkuu. kip it up
  13. Think Global RC

    Tetesi: Nini kina msibu Former IGP Mahita...??

    bowbow, kazi nzuri sana mazee.unajua huyu jamaa wakati wa utawala wake, haki ya mnyonge ilikuwa ngumu sana.nakumbuka alikuwa na kijana wake anamuita chiko(RPC kilimanjaro).walikuwa marafiki sana mpaka nikawa na wasiwasi na urafiki wao.kipindi chake ndio muda ambao asikari walikuwa wanakodisha...
  14. Think Global RC

    Habari Ndiyo Hiyoooo..

    mkuu atleast uwe unafanya editing ili wana jf waweze kuvutika kusoma. invisible vipi mzee.
  15. Think Global RC

    Makongoro Unatia Kichefuchefu!

    safi, mwendo mzuri mazee.jamaa jana alioneka kumtetea karamagi.poor makongoro.
  16. Think Global RC

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    huyu jamaa ni mweupe mazee,chungulia hapa mkuu http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_378.html
  17. Think Global RC

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    sir leem naona sasa unaelekea pabaya.kilichofanyika kiteto hata mtoto mdogo anajua.hawezi kujiita mtu mshindi kiteto.sasa wewe unamtetea masha kweli kwa kuficha ukweli?? its da right time now to think global and act locally.maendeleo hayaji kwa kuwatetea wajinga wakati hali inazidi kuwa...
  18. Think Global RC

    Kashfa ya EPA: Mwanyika azidi kujichanganya

    ndugu zangu lazima tuwe wakweli kwa nafsi zetu. mwanyika na hosea hawawezi kujisafisha hata kidogo.leo kuna watu wanataabika kuliko maelezo,nimetembelea vijijini watu wanafungwa,wanteshwa kwa kuwa hawana hela za kuchangia maendeleo. huu sio utawala bora kabisa, leo wale waliotufikisha hapa...
  19. Think Global RC

    Ni Kweli Rais Hafanyi Maamuzi Bila Kuunda Tume?

    Ni kweli tume nyingi zinaendeleza ufisadi tu. kitu kimoja ambacho naweza kuwahakikishia wana jf ni kuwa Mh pinda yuko vizuri.wale wote ambao wamelala wataamshwa na maji baridi, mziki wa pinda ni mnene kwa wale mafisadi.tumechoka na tume kuundiwa tume nyingine.
Back
Top Bottom