Ni kwa mujibu wa Mbunge wa Mtera Livistone Lusinde(CCM) leo bungeni amesema nyoka waondolewe kwenye fedha ni alamaya kishetani ,na amesema wakiondolewa pesa itakuwa na thamani...
Maskini Watanzania tunaenda hatua mbili mbele kisha tunarudi tatu nyuma ,ni kwa maslahi ya watu wachache wasiopenda bibi yangu kule kijijini asipate huduma bora ya afya ni hao hao ikifikia wakati wa uchaguzi wanamdanganya bibi yangu kwa kanga ambayo akifua mara mbili rangi yote inatoka masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.