Mwenyekiti Wa CHADEMA London Akiongea Na Urban Pulse UK

Ameongelea nini hasa?
Sisi wengine tunatumia simu za mchina halafu vimeo hatuwezi ona kitu.

wakuu tusaidiane kujua anachoongea.
 
Huyu muhehe mkweli sana, amewapa LIVE wabeba box in three dimension. Kweli inasikitisha kuona watu wenye Masters za Uk wanashindwa kuja kutumika vizuri hapa nyumbani kutokana na mfumo mbovu tulionao na kuona ni afadhali wapige BOX UK. Kama nchi ingekuwa na mfumo mzuri na unaothamini wasomi, watu hawa na wengine wengi wangeweza kuleta mageuzi makubwa katika maendeleo ya Taifa hili lenye neema nyingi zinazoishia mikononi mwa wachache.
 
Back
Top Bottom