Search results

  1. J

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Halafu kwanini chamber summons ziko mbili mkuu?
  2. J

    Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

    Wakuu nawasilimuni, Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho? Shukrani!
  3. J

    Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

    JENERALI kinachomkera ni namna watu walivyomiminika kumlilia JPM, alitegemea watu wasimzike vizuri shujaa wao. Eti JPM alijiona IMMORTAL yaani mwenye kuweza kuishi milele, matusi mabaya hayo JENERALI. Ungemtendea haki JPM ungetafuta hata hotuba zake uka'quote' kama kweli alijimwamba kiasi...
  4. J

    Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mkuu huyo baba wa hapo kazini kwenu si inawezekana michango yake labda haijaenda yote kwenye mfuko, au hata labda kuna issue ma'document'. Jiwe docs zote ziko fresh ingebidi iwe chap tu. Halafu hayo mambo ya fao la kujitoa si mambo ya kisheria tu mkuu na as long as bado tunaishi mabadiliko ya...
  5. J

    Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Aaah wapi wakati hata stahiki zake bado hazijalipwa na sasa ni takiribani mwezi wa pili, kuna wema hapo mkuu?
  6. J

    Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri. Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
  7. J

    Nimeota ninakunywa bia, ila mimi sinywi bia. Nini maana yake?

    Ndoto hiyo umeota kwa sababu kichwani mwako na mawazoni mwako unaichukia sana pombe kiasi cha kwamba hupati picha itawezekanaje itokee unywe pombe haswa ukizingatia ladha yake mbaya labda na athari zake. Kwa hiyo mawazo hayo ya namna unavyochukia ndo yamekuja usiku kama ndoto ya mtindo huo...
  8. J

    Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

    Mkuu ATCL huwa inakaguliwa. Pamoja na mambo mengine aliyoyabaini katika ukaguzi huu ni kwamba hasara ndani ya shirika hilo inapungua.
  9. J

    JK receives chq worth $200,000 or $300,000?

    In case of dispute between amount in words and numbers, the amount in words prevails.
  10. J

    'Single mothers' wenye pesa wanaharibu mabinti zao kisaikolojia

    Imekuwepo tabia ya single mothers kuwalea mabinti zao kwa namna ambayo wao wanadhani ni sahihi wakati sio. Kina mama hao huwalea watoto kwa kuwadekekeza kupita kiasi, kuwapa maisha ya anasa nyingi na kuwajengea mitizamo hasi kuhusu wanaume, mahusiano na maisha ya jumla. Utakuta single mother...
  11. J

    Kwa hili, chuo cha DUCE mlikosea sana!

    Nimekuwa mwanafunzi DUCE hadi 2015, vyoo ni shida. Kuna siku utakuta vyoo vyote vimeziba mzigo uko juu. Contractor wa hilo jengo la vioo ndo kaniacha hoi, sijui aliwaza nini kuweka vyoo vya kukalia. Ajabu hata jengo jipya kabisa (TPC) lina vyoo vya kukalia na vya kawaida kwa mgawanyo kama nusu...
  12. J

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaalika waangalizi uchaguzi mdogo wa ubunge Monduli, Korogwe na Ukonga.

    Waangalizi wa uchaguzi hualikwa kwenye chaguzi zote. Hii sio mara ya kwanza kutoa mwaliko kama huo. Uchaguzi uliopita waangalizi walialikwa wakaomba rasmi wakaenda. Marekani hakuomba kuwa mwakilisha ila baadae akatoa maoni yake, hapo ndipo ikamvaa kumhoji mbona hukuwa mwangalizi umeyapataje hayo.
  13. J

    Star times nao wamezima local channels, sijui nini kinaendelea

    Kuanzia saa 1 leo, ITV, CLOUDS, STAR TV, EATV na Channel 10 hazipo kwenye king'amuzi cha star times. Sijajua kama nao wameungana na ndugu zao kuondoa locals au labda wamepewa maelekezo.
  14. J

    Tetesi: Uwaziri wa Mh. Kairuki (MB) wa Madini uko mbioni kumponyoka

    Mwigulu anaiwezea, ile wizara haina idara nyingi kama ilivyokuwa ya mambo ya ndani! Akiingia akatekeleza operesheni baada ya operesheni na kuzirudia tena na tena patakuwa pazuri. Nidhamu yake hadi sasa iko vizuri, natamani arudishwe kama waziri wa madini na huenda ikawa hivyo. Mola wetu Rahman...
  15. J

    Tetesi: Uwaziri wa Mh. Kairuki (MB) wa Madini uko mbioni kumponyoka

    YAH: NAMNA SWALA LA UWIZI WA MADINI KATIKA MGODI WA MERERANI LINAVYOSHUGHULIKIWA KATIKA NGAZI YA WIZARA. Taarifa za Kamisheni ya Madini zinaeleza kuwa mrabaha utokanao na Tanzanite umeshuka toka mil 400 hadi mil 40 ndani ya kipindi kifupi sababu kuu ikiwa ni upitishaji madini katika namna ya...
  16. J

    Naomba miswaada iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwezi August 2018.

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Miswaada ninayoomba ni: 1. Mswaada wa bodi ya taaluma ya ualimu 2018. 2. Mswaada wa kutangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu 2018. 3. Mswaada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali 2018.
  17. J

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    Mello hakika wewe ni mzalendo, hujatuacha bila platform hii. Hata wakati tukiwa Kenya tunasubiri matamanio yetu ni lini jf inarudi! We longed for JF as deer panth for water.
  18. J

    Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?

    Kazi za ujenzi huendaga taratibu, baada ya muda ndo utaiona structure halisi. Hata TAZARA ilianza hivi hivi na sasa inaelekea kukamilika, subira men.
Back
Top Bottom