Search results

  1. NyotaMalaika

    Mahakama Kuu Malawi yaamuru kura kuhesabiwa upya baada ya malalamiko ya wizi

    Mahakama Kuu imeiamuru Bodi ya Uchaguzi kutotangaza matokeo ya Urais hadi kura kutoka kwenye theluthi ya Majimbo zirudiwe kuhesabiwa Hii ni baada ya chama kikuu cha upinzani, Malawi Congress Party(MCP) kwenda kushitaki wakidai kuwepo hali ya sintofahamu katika matokeo ya majimbo 10 kati ya 28...
  2. NyotaMalaika

    Kufuatia uamuzi wa kesi ya Sheria ya Huduma za Habari, Serikali kukata Rufaa

    Serikali kukatia rufaa uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki kuhusu vifungu vya Sheria ya Huduma za Habari ambapo imetakiwa kuhakikisha vinaendana na Mkataba wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Sheria ilitungwa na...
  3. NyotaMalaika

    Comoro: Kiongozi wa Upinzani akamatwa, milio ya risasi yasikika kwenye kambi ya jeshi muda mfupi baadaye

    Gunfire was heard near the main military base in the Comoros capital on Thursday, hours after opposition candidates announced plans to unseat the president whose re-election this week they reject as fraudulent. President Azali Assoumani was declared the winner in Sunday’s election with more...
  4. NyotaMalaika

    Mali: Wafugaji 134 wauawa, Al-Qaeda wahusishwa

    Watu wenye silaha wameua takribani wafugaji 134 toka kabila la Fulani, katika shambulio la kikabila Mauaji yametokea katika vijiji vya Ogossagou na Welingara huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likiwa limetembelea Mali ili kupata suluhu ya machafuko yaliyosababisha vifo vya mamia ya raia...
  5. NyotaMalaika

    Rukwa: Waganga wa Kienyeji Wasio na vibali kukiona cha moto

    Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa ACP Mathias Nyangi kuhakikisha anafanya msako wa waganga wa kienyeji katika mkoa na kuwakamata wale wote wanaofanya uganga wa kienyeji bila ya kuwa na leseni halali za kuwaruhusu kufanya shughuli hizo. Ametoa...
  6. NyotaMalaika

    Al Shabaab wavamia jengo la Serikali na kuua takribani 11 akiwemo Naibu Waziri

    Wanamgambo wa Al-Shabaab wavamia jengo la Serikali Jijini Mogadishu na kuua watu takribani 11 akiwemo naibu waziri wa ajira. Shambulio hilo la risasi lilitokea muda mfupi baada ya shambulio la kujitoa mhanga kwenye gari lililotokea karibu na jengo hilo. Al-Shabaab wamekiri kuhusika na...
  7. NyotaMalaika

    CUF kuwachukulia hatua wanaochoma kadi na bendera zao

    Chama cha Wananchi (CUF), Wilaya ya Tanga, kimefungua kesi mahakamani kwa ajili ya kuwachukulia hatua za kisheria waliokuwa wanachama wa chama hicho waliohamia Chama cha ACT- Wazalendo kwa madai ya kuchoma bendera na kadi za chama hicho. Hayo yalibainishwa jana kwenye kikao maalumu...
  8. NyotaMalaika

    Serikali yasema ifikapo Machi 31 wakulima wote watakuwa wamelipwa pesa zao za korosho

    Serikali imewahakikishia wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuwa kufikia tarehe 31 Machi 2019 wakulima wote watakuwa wamelipwa fedha zao kwani uhakiki umekamilika kwa kiasi kikubwa. Hakikisho hilo mbele ya kamati hiyo limetolewa leo Tarehe 16 Machi 2019 na Waziri wa...
  9. NyotaMalaika

    Dawa ya kuzuia maambukiizi ya UKIMWI na itumike muda gani kwa mtu aliyebakwa?

    Habari za weekend wakuu Poleni na hongereni kwa majukumu tafadhali naomba kujuzwa kama kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI endapo tu utakuwa umefanya mapenzi na mtu ambaye hujapima nae au kwa mtu aliyebakwa.Tafadhali kama ipo mnijuze inapatikana wapi na inatumiaka ndani ya muda gani baada...
  10. NyotaMalaika

    Chuo kipi Tanzania kinatoa kozi ya International Relations?

    Habari wana JF, Ningependa kufahamu ni chuo kikuu kipi hapa Tanzania kinachotoa kozi ya international relations.. Nawasilisha na ahsanteni!
  11. NyotaMalaika

    samsung galaxy s duos inauzwa

    used but iko katika hali nzuri sana..250000/= if intrested check 0685144570....
  12. NyotaMalaika

    Wapi naweza pata dentist mzuri dar-es-salaam?

    za asubuhi wapendwa.....nahitaji kumconsult daktari wa meno....ni wapi naweza pata daktari mzuri wa meno hapa dar-es-salaam?
Back
Top Bottom