Search results

  1. Fabian the Jr

    Nafikiri binadamu alitoka hapa...!

    Wakati NASA wanajiuliza ARE WE ALONE IN UNIVERSE sisi tuko busy kutafuta namna ya kuzuia mchawi anayeingia kwenye nyumba usiku
  2. Fabian the Jr

    Msaada tiba ya Kisonono

    Kuna daktari mmoja alikuwa anatumia dawa za asili alinitibu zamani kidogo kwenye 2018 yule jamaa alikuwa na dawa nafikiri ni za kihaya aaah sijawah ona dawa kama zile maishani mwangu yaani nilikuwa na gono nikawa natumia madawa kila aina ila nilipotumia ya yule jamaa wiki 1 tu. Unaweza kumcheki...
  3. Fabian the Jr

    Jifunze kuhusu marafiki

    Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na marafiki ambao watakupoteza. Kama unaamua kuwa na marafiki kuwa nao ambao unaamini watakusaidia kufikia malengo yako.
  4. Fabian the Jr

    Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

    Wakuu niwakumbushe tu, hakikisha kwenye application yako kwenye application letter pale chini attach copy ya kadi yako ya chama, utanishukuru baadae.
  5. Fabian the Jr

    unauthorized user

    Hauko peke yako mkuu, mi mwenyewe nahangaika nayo hapa kila namna inanipa hiyo error. Ukifanikisha tujulishane, nikifanikisha nitakujulisha
  6. Fabian the Jr

    Tatizo la kutokupata hedhi kwa miaka miwili

    Mpe namba ya huyu daktari 0686527039 anaweza kumsaidia, alimsaidia mke wangu kwa tatizo linaloendana na hilo
  7. Fabian the Jr

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Hebu wasiliana na huyu doctor 0686527039 alimsaidia sana mke wangu kwa shida kama hiyo, anaweza kukusaidia
  8. Fabian the Jr

    Fanya biashara mtandaoni

    Jamani kuna watu mpaka leo hii wanaona biashara mtandaoni ni wazo la kusadikika, kuna watu kila kukicha wanatengeneza hela nyingi sana kwa kutumia fursa hii ya bishara mtandaoni. Mfano mdogo tu miaka mitatu iliyopita mimi nilianza ya mtandaoni na tangu wakati huo sijawah kutamani hata kuajiliwa...
  9. Fabian the Jr

    Nissan sunny inataka 4M tu

    Mkuu angalia vyema namba ziko hapo juu
  10. Fabian the Jr

    Nissan sunny inataka 4M tu

    Wadau kuna jamaa amekwama hapa anapush ndiga yake urgently, mpaka hivi ninavyoongea yuko nayo kazini kwake. Iko Mwanza 0686527039
  11. Fabian the Jr

    Gari nissan Sunny bei nzuri

    Hiyo hapo mzee
  12. Fabian the Jr

    Gari nissan Sunny bei nzuri

    Haina shida yoyote (Ni Manual), Ndo gari yangu ya kwanza, Naiuza kwakuwa nimepata nyingine. Iko Mwanza kama uko interested 0686527039 Bei 3.5M
  13. Fabian the Jr

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    Mkuu hebu weka namba mzee
  14. Fabian the Jr

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    Nipe 3.5M Nissan Sunny Namba A Manual Haina shida yoyote 0686527039 Iko Mwanza
  15. Fabian the Jr

    Maumivu katikati ya kifua yatokanayo na kufanya kazi nzito

    Heshima zenu wakuu, nina hili tatzo linanichanganya sana. Maana huwa napata maumivu katikat ya kifua na hii hutokea pale tu ninapokuwa nimefanya kazi nzito kidogo, Je nini linaweza kuwa tatizo hapa. Nikishapumzika maumivu haya hupotea na nakuwa poa kabisa, Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Fabian the Jr

    R.Kelly: Freemasons wakikasirika

    Mpaka hii leo kuna watu ambao ukiwaeleza habari za freemasons huona tu kama ni hadithi za kufikirika na kwamba hazina uhalisia wowote katika maisha ya kawaida. Well, kama wewe ni mmoja wa watu wenye imani hiyo nikwambie tu uanze kuifuta dhana hiyo kichwani mwako maana THIS THING IS VERY REAL...
  17. Fabian the Jr

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Ni pm mkuu zipo Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Fabian the Jr

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Mkuu unajua kwamba mpya dukani ni 79000? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom