Kunakituo kimoja cha runinga kinanishangaza sana hasa kwa wafanyakazi wake kutokua na vitendea kazi nikimanisha kuazia ofisi na vitendea kazi vingine kama kamera za kisasa na mambo mengine,hebu muhusika wasaidie hawa jamaa wanateseka sana pamoja na kujituma na kazi yao kuonekana hebu wape...
Wasaidie wapiga picha wako wa ITV mikoani hata kajiposho, hii niaibu kwako wewe wamekuwa wakitegemea vijiposho vya mikutano, imefikia hata sasa wengine kushindwa kulipa hata kodi ya nyumba lakini naamini wewe ni mtu mwenye huruma wasaidie hawa vijana kwani niwachapakazi hawana shida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.