Ombi kwa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media

issa laino

New Member
Aug 2, 2012
3
0
Wasaidie wapiga picha wako wa ITV mikoani hata kajiposho, hii niaibu kwako wewe wamekuwa wakitegemea vijiposho vya mikutano, imefikia hata sasa wengine kushindwa kulipa hata kodi ya nyumba lakini naamini wewe ni mtu mwenye huruma wasaidie hawa vijana kwani niwachapakazi hawana shida.
 
Back
Top Bottom