Kwa miaka hii michache ambayo Rais Samia amekaa madarakani ame prove kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kuwai kutokea duniani.
Rais Samia amefanikiwa kwa muda mchache sana kuturejeshea furaha, tabasamu na uhuru wa Tanzania ingawa anapambana na vita kali sana ya kiuchumi na kiungozi kutoka kwa...
Wazee washauri wa CHADEMA mpo?mmejificha wapi? Jitokezeni muwashauri hawa viongozi, ni wazi wameamua kutumia suala la bandari kama kichaka chao cha kupiga fedha za chama. Kwanini?
1. Kwa makusudi wameamua kutumia nguvu isiyo sahihi kuikosoa serikali iliopo madarakani.
2. Gharama wanazozitumia...
Asante kwa story yako...
Endelea kutafuta sifa na kujisifia upuuzi hivi hivi kwenye mitandao mpaka utakapo kuwa ndio uwache. Pia ukienda shule usisahau kuwa adithia na wenzako hii stori.
Huja itendea haki mzumbe.
Mpaka sasa inaonesha una vyeti ila knowledge huna.
Tujulishe na jinsi ulivyo ipata degree yako maana vyuoni lecturers wanasifika kwa kupenda ngono in return of good course work.
Kuhitimu chuo sio tatizo. Je ume hitimu na GPA yangapi ?.
Unayo knowledge ya law kichwani.
unauwezo waku figure out issues and apply law in any litigation.
Fanya kazi ya kujitolea sehemu yoyote ile kwanza wapime uwezo wako pia upate experience.
law ni experience na knowledge.
Kwa serikali hii iliyopo inayo jua kuimba wimbo wa utawala bora ila vitendo vyake tofauti na utawala bora sio kitu cha ajabu kwao Rais kukutana na jambo kama hilo.
Watawala wetu wanajitumikia wao wenyewe binafsi baadala ya kutumikia wana nchi ndio maana habari za ufisadi au uhujumu uchumi hazi...
Nizamu kitu cha muhimu sana.
usimseme ovyo boss wako. Tumia busara kumuambia ukweli kama anatatizo ajirekebishe au tumia nafasi yako kumsaidia aepukane na hilo tatizo.
Tutasikia mengi sana maana kila mtu amekuwa muongeji wa chama juu ya issue.
Hao wanafunzi wanachama wa chadema nilazima watambue kuwa chadema ni chama na kinaongozwa na katiba na sio kikundi cha watu ndio wana kiongoza chama kwa matakwa yao binafsi.
Pia hamu wezi mkawa wana chama au wana...
Kabla huja ongea lolote kuhusu chadema na zito, unahitaji kuji uliza maswali haya.
1. Chadema ni zito kiasi bila yeye chadema haito kuwepo tena?
au
2. Chadema ni people's power?
Ukipata jibu hauto babaishwa na kelele za mfamaji zito.
lazima utambue kuwa chadema ni kama...
Pumba ulizo ziandika, hakika hata Mwigulu Nchemba atakuwa ana kucheka kwa jinsi ulivyo onesha udhaifu wa kutushawishi wa Tanzania kwa hoja zako za kisiasa zi sizo na mashiko.
Alafu inaonesha hata hujui siasa ya Tanzania ilipo fikia na niwatu wa aina gani wa Tanzania tuna wataka kwa sasa...
Kwatabia walio onesha wazazi wake mkeo ni dhahiri vituko vyote, ukorofi na ujeuri anao kufanyia mkeo ni matokeo ya malezi alio pewa na hao wazazi wake.
Naamini mpaka sasa utakuwa umeisha jua mkeo na familia yake ni watu wa aina gani.
Kwahali ilivyo jionesha una hitaji wewe mme utumie busara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.