Search results

  1. B

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    R.I.P mom. Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu bro. Zitto.
  2. B

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 22 Mei 2014, Kikao cha 15 Mkutano wa 15, Bunge la Bajeti

    Ndugu nadhani una matatizo ya akili, kwa mtu yeyote anayesoma na atakayesoma mchango wako lazima agundue kwamba wewe ni mgonjwa na unahitaji maombi sana ili upate ahueni ya ubaguzi wako wa makabila. Hakika huna tofauti na mkoloni (kaburu).
  3. B

    Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib

    Ni huyo aliyeleta hiyo reply, amechanganya madawa coz sio mahali pake kabisa!!!:smile-big:
  4. B

    Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib

    Out of topic!! Hiyo ni clan tu aisee.:disapointed:
  5. B

    Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib

    Ahsante sana JAMHURI kwa ujasiri huu. Mungu wa mbingu na nchi awalinde:angel: na mpate ujasiri na uzalendo muendelee na moyo huo huo ili tatizo hili lifikie mwisho wake.
  6. B

    Mgimwa-uamuzi wa kuhusu tozo ya simu ya tsh 1000 kwa mwezi hauwezi kubadilishwa mpaka litakaporudi

    Kwani maandamano yana maana gani aisee? Au unaandika tu kwamba ni upuuzi wakati hujui maana yake!
  7. B

    CCM; Wenzetu mnajisikiaje?

    Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na uwajalie hawa viongozi kuwa na hofu yako kuu ili wakatende sawa sawa na maagizo yako.
  8. B

    Majibu ya JK kwa Kagame ni haya hapa

    Umenena vyema meku. Ubarikiwe!
  9. B

    Intelijensia ya CHADEMA imenasa njama za Kumdhuru Mbunge Lema

    Ni wakati wa kuomba Mungu sasa juu ya haya mambo kwa sababu wanadamu wamegeuka kuwa wanyama na wamesahau kwamba hapa tunapita tu.
  10. B

    Kufilisika kwa wanasiasa CHADEMA na kukosa kwao ajenda, 2015 hamchomoki!!!

    Mkuu CCM wanakulewesha kiasi hicho mpaka unataka kuchukua cheo cha MUNGU? Una uhakika gn kwmb Dr.yupo kwny nyakati zake za mwisho na co ww? Uwe unafikiria kabla ya kuongea hzo pumba zako, msisahau kuwa MUNGU ndiye muamuzi wa yote.
  11. B

    Mh. Peter Msigwa ndio anafuatwa kukamatwa kwa kauli dhidi ya Pinda

    Kuna mbunge wa CCM ambaye ametatua changamoto za jimboni mwake unayemfaham aisee? Inavyoonesha ulishawahi kuugua ugonjwa wa akili ndo mana unatoa matusi hovyo.
  12. B

    Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!

    Inaonesha huwajui majambazi na wauaji wa hii nchi na defenetely ww co mzalendo wa nchi hii na huenda hujui unachokiongea ndo mana unasema unaogopa Chadema na co Kinana (jambazi na muuaji) unayetemtetea.
  13. B

    Kinana amburuza Msigwa kortini

    Always the fact will remain constant!! Kati ya Jangili (CCM) na Mchungaji (Mwananchi) tutajua nani mkweli!
  14. B

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Kwa hiyo unataka kuniambia kwmb hawa CDM wanasababisha kiwango cha elimu kushuka???Waziri wa elimu na watenda kazi wake wako wapi ili huyu mdogo wake Mbowe afanye jambo kama hili unalolisema??? Watanzania co wajinga kiasi hicho cha kudanganywa kupandisha bei ya bidhaa ili kuwagombanisha wao kwa...
  15. B

    Prof. Jay aeleza sababu za kujiunga na CHADEMA. Aeleza msimamo wake kuhusu kugombea ubunge

    Sure..better not to be single minded!!!! otherwise BIG UP Prof.J
Back
Top Bottom