Tuna kikosi kizur sana ukiangalia 90% ya wachezaji ni wapya isipokuwa Boxer na Yondani kwa Wachezaji wa 1st 11. Bado kuna muda wa kurekebisha makosa katika mechi zinazokuja, ondoeni hofu Mabaharia baharia huwa hakat tamaa.
Upo sahihi yani timu haina world class players, yani ukimtoa De Gea hakuna mchezaji mwingne anayepata namba man city au barca au madrid. Wachezaj wa kawaida sana alafu Mourinho sio type ya wachezaji hao Mou anataka wachezaji ambao tayar wamekwiva yy ndo anawatumia kwa muda Mfupi. Kikosi hiki...
Maisha siku zote huwa yanakwenda kwa kasi mnooo, mara baada ya Madrid kuchukua ubingwa 2002 Walistruggle sana kuhakikisha wanarejesha makali yao ambayo tulizoea kuyaona baada ya pale msimu uliofuata 2003 walijitahidi wakachukua La Liga kwenye siku ya mwsho baada ya viongoz wa ligi kwa kipind...
Jayson Tatum muda sio mrefu Dunia itamtambua huyu Bwana Mdogo wa Celtics. Dodgo ana 21 na alikuwa wa tatu kwenye draft ya msimu wa 2017/2018 lkn anavyowasumbua kina JR Smith na Tristan ni shida, mimi namtabiria makubwa sana dogo huenda akafika level za kina Carl Marone, Bill Russell, Michael...
Hapo ndo mtakapojua kuwa soka la bongo la majungu, kukomoana, fitina na chuki. Hivi mtu na akili yako kweli unadiriki kufanya ujinga kama huu aliofanyiwa Ngasa? hilo suala dunia nzima hakuna lipo tz tu, na kwa hali hii soka letu halitasogea milele. Mtu kama Geofrey kaburu mtu mwenye heshima zake...
Hatimaye yanga wameingia fainali nyingine ya kagame kwa mara ya 2 mfululizo na safari uso kwa uso na wababe wao azam fc je azam wataendeleza ubabe kwa kwa timu ya wananchi au wananchi watafuta uteja? hii ni mara ya 2 kwa timu ngeni kuingia fainali ya michuano hii kama mnakumbuka mwaka 2005 timu...
Unaweza ukaona kuwa ni mzaha kumbe hili suala simba walilichukulia kama serious kwa kiasi fulani. Baada ya TFF kumuidhinisha Kelvin Yondani kuitumikia Yanga kwenye michuano ya kagame simba wakaibuka sana wakisema TFF wanawaonea sana na kudiriki kusema kwamba wanawapendelea sana Yanga, mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.