Lowasa ni Greet leder ana Hela mara kumi ya CCM, SO ATAPAMBANA AENDE IKULU NA KAMA ASIPO PITISHWA ATALETA TABU HUENDA UPINZANI WAKACHUKUA 2015 KWA MKONO WAKE. Let wait and play this Cryng Game
Kanunue Ulinzi huo. Pia funga mfumo wa CCTV NA PIA ALARM YA KK SECURITY NI BORA. Mimi kwangu kamera zipo kila kona na ni za simu za mchina nimenyofoa nika unga kwenye computer naweza ona na kusikia kila kitu kwangu kuna taa za ulinzi ukisogea zinawaka na pia zipo umbwa 2 noma xna. Kwa ulinzi wa...
Mbona Mka muuwa Nyerere? mlijua ndio Kila Ki2 CCM. Ndo hvyo Kila mahala kuna Wazee washauri wa karibu na wanajua nini mbivu nini mbichi. chunguzeni hata vyama vingine vina wazee wake. Mfano manji kwa yanga akisema go u go!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.