Search results

  1. YouTube

    Tukisema China ndiye aliyetengeneza virus vya CORONA tunamaanisha mambo kama haya

    sawa, lakini hawa mbona ni wakorea na sio wachina?
  2. YouTube

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Watoto kuwa na simu kwa nchi zilizoendelea ni muhimu kwa usalama wa mtoto..
  3. YouTube

    Dr Louis Shika kimantiki na kisheria hana kosa

    Mnada wa kwanza alisema naanza na milioni 300 , haya maneno ya hakusema milion sijui mnayatoa wapi, angalia video YouTube za Millard Ayo "mwanzo mwisho wa dk Luis shika." Halafu vilevile kisheria mwenzako anasema milion 810 ww unasema tufanye 900 manake unaongezea alipoishia mwenzako!
  4. YouTube

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo za kwaya walimba " na lingine lilianguka kwenye udongo mzuri, likazaa moja thelathini"
  5. YouTube

    Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

    Kwahiyo tenders zote za ujenzi anashinda Mayanga ?? Safi!
  6. YouTube

    Mwanamke mwenye mwili wa size ya kati asiwe mrefu ni balaa

    Inabid tusieleweke ili kila mmoja apate wa staili yake.
  7. YouTube

    Mwanamke mwenye mwili wa size ya kati asiwe mrefu ni balaa

    Vimodo watam sana, kushoto kulia kote wananyumbulika.
  8. YouTube

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Mkuu anzisha group la whatsap na uweke link ya kujiunga. Vigezo strictly single parents.
  9. YouTube

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Sawa mkuu, namba yangu pia ipo hapo juu - - - - - - - -. Text me through the number nitaikuta or call me around 7pm.
  10. YouTube

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Mkuu kiwango inategemea broker unayemtumia, wengine hawana minimum amount wengine wanayo. TMT tunamtumia jpmarket, jpmarket hawana minimum amount, ila walimu wanashauri angalau uanze na $300, ukishindwa kabisa basi tujitahid $100. Kiwango kikubwa kinakusaidia kupata matokeo chanya ya mapema...
  11. YouTube

    Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

    Watu wanaomba vyeti vya wenzao lakin wao vyeti vyao vipo makwapani.
  12. YouTube

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Last day of training. Thank you TMT for the bites and soft drinks. Thank you again ONTARIO
  13. YouTube

    Nape na Zitto! Makinikeni, msonobari hauchorongwi

    Nape sitamsamehe kutuondolea Bunge Live!
  14. YouTube

    BOT wameniita kwenye aptitude

    Aptitude ni pepa la hesabu. Hesabu ndogo ndogo za kawaida lakin very technique.
  15. YouTube

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Day 3 Training is awesome ! Thank you ONTARIO ! Kaveli nimekusoma mkuu, when things unfold I will definitey do like I wrote above , and definitely you will be the person.
  16. YouTube

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Wasamehe bure, taratibu taratibu watanzania wa aina hiyo watabadilika. Usife moyo wala kuvunjika moyo, sababu ya hao watu wachache.
  17. YouTube

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Mkuu ni vema kuwa kimya kama jambo huna uhakika nalo, kuliko kuruhusu hisia na mdomo kuchuma dhambi bure. Mwenyezi Mungu akusamehe.
  18. YouTube

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Noted mkuu. Asante kwa angalizo. Utambulisho muhimu ni namba ya simu hapo juu, na kuthibitisha kwa kulog in jf kutumia jina hili. Asante, pia nitaleta mrejesho.
Back
Top Bottom