Search results

  1. J

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Naomba niangalizie hii mkuu S1802/0173 shule inaitwa Bweri
  2. J

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Naomba usichoke mkuu kutusaidia.. hii pia tafadhali S1802/0173
  3. J

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Mkuu naomba niangalizie S.2078/0042
  4. J

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Naomba mnisaidia kuniangalizia mdogo wangu hapa hali tete.. namba yake ni S2078/0042
  5. J

    Unaweza ukawaamini wapinzani tena?

    Hivi kama watu hamna cha kuandika si bora mngekuwa mnaleta hadithi za Juma na Uledi tu tukajua moja.. kila siku jambo lile lile, mada ile ile, mtu yule yule mpaka manaonekana kama majingaaa flan hv.. its better to stay quite lather than expose your stupidtyy
  6. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Heshima kwenu wakuu.. naomba mnijuze kwa anaejua jinsi ya ku withdraw cash, kwa meridian. naona ile sehemu ya Deposit/withdraw haipo. nifanyeje
  7. J

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Kweli mkuu.. we ni mbush mwenzangu. Nimepamiss bush na harakati zake..
  8. J

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    mkuu tulikuwa tunaona vichaka vya moto vina move.. around uwanja wa shule na vingine vilikuwa vinafuata wanafunzi walipo tufikii kabisa.. kama umbali wa 100m. hapo watu walikuwa wanakaribia kujikojolea
  9. J

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Aisee hii isue ilikuwa kweli kabisa.. tukiona moto tunajikusanya pamoja na wajuvi wa mambo walikuwa wanatuonya tusikimbie kabisa so tunarundikana pamoja kwa uoga, mpaka wachawi wanaondoka kabisa..
  10. J

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    hapoMkuu kwenye kulinda nguzo za umeme umeme umenikumbusha mbali sana..tulikuwa tunalinda zamu ya masaa mawili mawili kila bweni, shy bush ikiwa na mabweni matano.. kipindi hicho nipo bweni la , mh. D. Kafulilaa akiwa bweni la tembo.. tukitoka kulinda nguzo tunashuhudia mioto ya wachawi wa...
  11. J

    Kauli CHAFU za walimu darasani

    Kama SUA (Sokoine University of Agriculture) wanafundisha panya na panya wanaelewa, hapa tunafundisha binadamu na hawa binadamu hawaelewi, je kati ya hao panya na hawa binadamu nan bora zaidi..
  12. J

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    Mtikisiko wa kinana ulikuwa wapi..!? Mkutano ulikuwa wa kawaida sana.. hajafika hata nusu ya mikutano ya Wenje.. Honestly Mwanza bado pagumu kwa ccm .
  13. J

    Wenje kuwahutubia wananchi wa nyamagana hapo kesho.

    Mi mtu haisomi hata tarehe ya bandiko yanakurupuka tu.. jaman haya si ndo malofa afu wanatusingizia sisi
  14. J

    Lowassa ameteka media huku Magufuli akiteka raia

    Ngundengude naona unajaribu kutumia analysis ya mikoa kwa kurefer uchaguzi wa mwaka 2005. Tafuta takwimu za uchaguzi recently (serikali za mitaa) ndo unaweza kujua mkoa upi ni ngome ya chama flani.. ingawa kulikuwa na mizengwe mingi kwa wagombea wa ccm kupita bila kupingwa lakn atleast utapata...
  15. J

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Jaman mi huku nimeshindwa hadi kufanya kazi. yaan karoho kanafurahi mpaka naona nakosea tu.
  16. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba mnisaidie.. nkitaka kulog in kwenye account yangu ya meridian inakuja window error.. inaniambia kuclear the history.. sasa wakuu hiyo history naclear vp.. msaada plz
  17. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau mbona mm nadeposit pesa kwenye account ya Meridian lakn pesa haionekani.. nlideposit tarehe 27/2/2015, jana pia nimeweka haikuonekana na leo nimeweka bado haijasoma na kila nkijaribu kufanya transaction naambiwa sina salio. Najaribu kupiga namba zao 0754303031 haipokelewi na ile ingine ndo...
  18. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Samahan kama issue hii itakuwa imeshaulizwa before ila naomba msaada wenu. Wakuu mm nikijaribu kuregister meridian betting inagoma?? Nisaidieni maana nlisign up wakasema invalid promo code lakn baadae nkaona link kwenye email nikaclicl kuverify. Sasa issue inakuja kwenye username, kila nikiweka...
Back
Top Bottom