Search results

  1. Tope

    Hivi hakuna ahsante nyingine?

    Salam wakuu. Hakika nimepata mgagasiko WA nafsi na roho katika hili. Dada zetu na mama zetu mmekua mkitumia miili yenu kama sehemu ya ahsante pale mnapo tendewa jambo Fulani jema au haya kusaidiwa matatizo madogomadogo. Nayazungumza haya kwa uchungu kwa hili lililo nikuta mei mosi ya leo. Kuna...
  2. Tope

    Kuna ukweli wowote katika hili?

    Salam wana jamvi.Je kuna ukweli wowote kwenye swala la vikoba kutoka Reginald Mengi foundation kuhusiana na mikopo wanayotoa? Au ni wahuni wachache wanataka kujivunia fedha za wasio na uelewa?
  3. Tope

    Anayehitaji mimba

    Nawakaribisha kina dada wote wanaotaka mtoto ili walee peke yao kama upo tayari ni email allankisojoko@gmail.com
  4. Tope

    Nishakuwa kipusa!

    Habari wa na jf? Wanajamvi hali ya maisha yangu kwa sasa imekuwa tete. Tangu dec 2012 nipo jijini kwa uncle tumbo moja na mama kwa minajili ya kumsaidia katika shughuli zake za biashara na kusubiri kama nitapata ajira ya kueleweka popote pale. Uncle ana aunt tunayeishi nae japo hajamuoa na...
  5. Tope

    Huu ni udhaifu mkubwa!

    Kwa muda sasa kumekuwepo na udhaifu na uzembe wa hali ya juu kwa viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga ambapo wameshindwa kutoa mshahara kwa wakati na badala yake wamekuwa wakilipa mishahara tarehe nne au tano bila kutoa maelezo yeyote. Huu ni udhaifu mkubwa na niuvunjaji...
  6. Tope

    Anaye hitaji house boy!

    Natafuta kazi ya u house boy nina 28yrs najua kiswahili na kiingereza fasaha elimu yangu kidato cha sita kwa sasa nipo dar. Mshahara maelewano aliye atakayekuwa tayari ntamtumia ac ya email
  7. Tope

    Amn new!

    Hellow!
Back
Top Bottom