Huu ni udhaifu mkubwa!

Tope

Member
Jul 23, 2012
74
61
Kwa muda sasa kumekuwepo na udhaifu na uzembe wa hali ya juu kwa viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga ambapo wameshindwa kutoa mshahara kwa wakati na badala yake wamekuwa wakilipa mishahara tarehe nne au tano bila kutoa maelezo yeyote. Huu ni udhaifu mkubwa na niuvunjaji mkubwa wa mikataba na waajiriwa kwani unapokwenda kinyume na mkataba ambapo mkataba unasema mwajiriwa atapokea mshahara kila mwisho wa mwezi na si mwanzo wa mwezi
 
We Tope you are less knowledgeable if not informed! Mkinga hawana mamlaka na hela. Ni system ya JK ambayo ni wrotten. Mkinga wanategemea hazina, kama hazina hawatoi Mkinga wapate wapi. Tafakari, chukua hatua!
 
Back
Top Bottom