Search results

  1. W

    Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Ndio mimi hapa sasa! Nakumbushe mwanangu ulikuwa unaitwa nani na ulimaliza mwaka gani?
  2. W

    HILi ni jiwe la kawaida au madini?

    Njaa ni kitu kibaya sana
  3. W

    Fanya jaribio hili usiku, nakuhakikishia utaona vitu visivyo vya kawaida angani

    Mtu akivuta sigara kali au akilewa pombe, ni jambo la kawaida kuona maajabu kama hayo anapotazama angani.
  4. W

    Hii inaitwa jiongezee

    Ujinga mtupu
  5. W

    Polisi wa usalama barabarani ni wengi kuliko askari doria

    Kwani hujui kwamba unatakiwa uishi kama shetani?
  6. W

    Kufagia barabarani na kuzibua mitaro ni udhalilishaji kwa wanajeshi wetu

    Niliwahi kuwaona wakizima moto kwenye msitu wa hifadhi uliokuwa unaungua, hakika ilikuwa ni vita kali sana kati yao na moto usiku kucha bila koogopa nyoka na wanyama waliokuwa wanakimbia moto. Kwa hiyo hawa watu ni msaada mkubwa sana kwa jamii kwani hatuna ndege za kutosha kuunyunyizia maji au...
  7. W

    Msaada Jinsi ya Kujua Mahali Namba Ya simu Ilipo(Mkoa)

    Kwani unamtaka wa nini kama yeye hataki hata kupokea simu yako? Unamdai? Kama vipi wakati mwingine uwe unamwekea kile kifaa wanachowekewa wanyama pori ili kuweza kum trace popote anapokuwa.
  8. W

    Ngono sehemu ya kazi: Je, ni kweli huambatana na mikosi?

    Mahousegirl wengi wanabanjuliwa na mababa wao wa kazi lakini bado wanaendelea na kazi zao zaidi ya miaka kumi
  9. W

    Ngono sehemu ya kazi: Je, ni kweli huambatana na mikosi?

    Mabosi wengi wanawatafuna sana wafanyakazi wa chini yao maofisini na hakuna lolote
  10. W

    Nataka nije kufanya tukio la ajabu ili niweze kukumbukwa na vizazi na vizazi kama ilivyokuwa kwa hawa

    Hakuna jipya chini ya jua, yote yamekwisha kufanywa na waliotangulia
  11. W

    Wa Dar wamepata ahueni

    Naona kama ni mgonjwa anataka kunyweshwa dawa. Pembeni kuna anayepeleka maji.
  12. W

    Le Mutuz akiwa na mchumba ake mpya jijini Mbeya

    Mwanamke mzuri
  13. W

    CCM Dodoma wamjia juu Mkurugenzi wa Halmashauri aliyepiga Mtumishi wa Serikali

    Kumbe watumishi nao pia ni kama wafungwa, TEKE tu.
  14. W

    Wahehe

    Washamnywa supu
  15. W

    Yule mbwa huyu hapa

    Mpeleke kwa ILANI
  16. W

    Masoud na vibonzo vyake!

    Nimemisi kuliona hilo bichwa muda mrefu, nadhani alikatazwaga kulichora
Back
Top Bottom