Search results

  1. P

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Polisi wetu hawana jipya, wameshindwa kuwakamata watu waliojifungia msikitini mbagala kuharibu sensa, wanawapiga mabomu raia walioahidiwa maisha bora , yaliyogeuka maji jangwani
  2. P

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Moto hauzimwi kwa kumwaga petroli.. mwisho wa CHUKUA CHAKO MAPEMA ( CCM ) UMEKARIBIA..
  3. P

    Mafao ya wafanyakazi vipi ???

    Habari ya Mifuko ya jamii kukatalia pesa ya wafanyakazi imeishia wapi?? manake jana mtu mmoja ameenda NSSF, kudai mafao yake akakataliwa... sasa afanyeje?? ushauri wenu Tafadhali....
  4. P

    Picha hii inakukumbusha nini?

    Naomba CV ya Mkurugenzi wa TSRA wadau
  5. P

    Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

    Ukimwi na ebola kipi bora ???
  6. P

    Ukimwi na ebora which is better ??

    Niambieni nijue kipi angalau ni ahueni ""
  7. P

    Shaffih dauda hana kazi nyigine ya kufanya?

    Mimi nafikiri wewe ndio huna kazi ya kufanya, kwani kuna kosa gani kufanya kazi??? ndio maana wenzetu wanaopenda kufanya kazi kama china wameendelea sana, wewe na wenzio kila siku mapumziko, nyerere day, karume day, siku ya uhuru, muungano sabasab, nanenane, mapinduzi day, muungano day, n.k
  8. P

    Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

    Membe si mtu wa kuamini hata kidogo, sakata la wizi wa fedha alisema atatoa taarifa lakini wapi mpaka leo
  9. P

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Watu wanaita MASTERS HIYO YA MZUMBE VODA FASTER, UKILALA USIKU UKIAMKA ASUBUHI TAYARI UMEPATA
  10. P

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Hongera mkuu kwa shule nzuri katika uhasibu, ila MASTERS YA MZUMBE nashauri usiweke kabisa miongoni mwa shule zako, kwani haina tofauti na Certificate ya CBE
  11. P

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mkuu sielewi Yanga ndio nini???
  12. P

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Watoto wa masikini watasoma kweli ??? kwani huu ni mkakati wa kuwaua watanzania masikini wao kila siku india
  13. P

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Kwa hili nitawaunga mkono UAMSHO, tufanye kazi kwani huu ni upuuzi wa Wajinga wachache wanaofaidi posho, na huyo mkurugenzi wa SSRA, Nina wasiwasi nae, anaitwa nani na alitokea wapi kabla ya kuajiliwa hapo??? alishindanishwa na wengine???
  14. P

    Sheria ya Mafao miaka 55, wafanyakazi wamehusishwa?

    Hili ni changa la macho, hebu jiulize wewe utakuwa na mafao kiasi gani mpaka ukopeshwe nyumba??? ndugu zangu kila siku mnaabiwa serikali haina pesa, na uchaguzi unakaribia watapata wapi pesa ya uchaguzi 2015??? na safari za nje, posho za vikao????? Watanzania tuamke, wanasema watawapa mikopo ya...
  15. P

    Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

    Na barabara ya kwenda nyumbani kwake hapa kijitonyama anawekewa rami, wakati barabara ya kuingia sokoni makumbusho ina mashimo kama sio Mahandaki.....kweli heri wanaodhulumiwa kwa ajili ya haki ..
  16. P

    Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

    Huyu mwanamke sijui alizaliwa lini make ana roho mbaya kama sura yake !!!!
  17. P

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Wadau hivi Orodha ya Wauza dawa za kulevya itatajwa lini ??? make tulisikia Amekabidhiwa Mh. Rais
Back
Top Bottom