Mafao ya wafanyakazi vipi ???

PAKA MAPEPE

Member
Jul 20, 2012
19
0
Habari ya Mifuko ya jamii kukatalia pesa ya wafanyakazi imeishia wapi?? manake jana mtu mmoja ameenda NSSF, kudai mafao yake akakataliwa... sasa afanyeje?? ushauri wenu Tafadhali....
 
issue imesimamishwa for next six month mpaka bunge litakapokaa tena mwezi wa kumi na moja, ndipo waheshimiwa wetu watakaa tena kutuamulia hatma yetu ingawa ni haki yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom