Search results

  1. F

    Magazetini - Zitto Kabwe anavyolilia urais

    Ntaacha kuwa na mashaka na ZITTO mpaka ntakapojiridhisha na masuala mbali mbali niyajuayo dhidi yake kwa chama! (1)Zitto amekuwa akikituhumu kuwa Chadema ni chama chenye udini!ushahidi ni kipindi rais anahutubia bunge mara ya kwanza zitto hakuwepo bungeni ila alikuwa nyumbani kwa mbunge mmoja...
  2. F

    Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    Ndio athari ya viti maalumu kuwa vingi bungeni maana wabunge karibu wote wa CCM wanafanana si wakiume wala wakike wote wamekuwa na TABIA sawa!Cheki unaweza ukamfananisha Mdee na Mwigulu kweli!maana Mdee kama Dume!Mwigulu kama Mwanamke!
  3. F

    Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    Bunge inabidi ilipwe kwa HOJA nzito nzito tu na si vihoja vyepesi vyepesi!Wabunge wa CCM wanaujua uwezo wao wa kufikiri na wa kutoa hoja ndo maana wanaogopa kuzijadili Hoja nzito Bungeni maana wangemezwa na wabunge wa Chadema!kwa kifupi wanaogopa wataumbuka!!Warudi darasani kusoma wao wenzao ni...
  4. F

    Hivi tanzania tuna wabungeee?

    Mimi nna mashaka na Spika na wabunge wa CCM!alikufa Nyerere hata maduka hayakufunguliwa!huyu ni mtu mmoja tu na alifarikia LONDON!leo wanakufa ndugu zetu tena hapa hapa nchini na ni zaidi ya mia mbili then bunge linachukulia mzaa wa kutaka Hoja zao za kinafiki na zisizo na msingi waendelee...
  5. F

    Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

    Mara nyingi waliozoea kuangalia TBC ndo wenye Hoja Dhaifu!Hamuwaoni Bungeni mule!Na ukifuatilia sana hata wanaofeli sana mashuleni ni wanotazama sana TBC pia!Hata watangazaji wao mnawaonaje?Si wanafanana na huyu jamaa aliye leta Hoja dhaifu hapa!na inaonyesha ndo kwa mara ya kwanza ameanza...
  6. F

    Unyanyapaa wa Chadema

    Vyombo vya Dola kweli vinazingua!tatizo lenu mnanidhamu ya uoga!na ndo maana hamuwezi kubadilika kitabia!Unashtuka nini sasa CDM kuwasema ukweli vyombo vya Dola kama kina KIWIA walishambuliwa mbele ya POLIS na kujeruhiwa vibaya!Juzi tumeona KOVA anabishana na Mchungaji!kusoma hujui hata Picha...
Back
Top Bottom