Search results

  1. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Mumeamkaje, mwenzenu nina hali mbaya. Nimenyimwa unyumba mwezi wa pili sasa, chanzo ni ugomvi wa hapa na pale usiohusiana na mapenzi. Tumesuluhishwa na ndugu na marafiki lakini hola! Sifikirii kuwa msaliti, nafikiria kufanya maamuzi magumu ya kujiunga na chaputa. Msaada jamani
  2. Emecka

    Msaada wa haraka: Nimenunua LUKU kwa sh. 25,000 nikapata units 10

    Habari zenu Wanajamvi ni jambo la kushangaza nimenunua LUKU kupitia mobile banking transaction kwa sh. 25,000/= cha ajabu nimepatiwa units 10 tu. Kwanza sijaona ile breakdown kama ambavyo nikinunua kwa M pesa au Tigo Pesa ila units zimeingizwa moja kwa moja kwenye mita. Hivi kuna namba za...
  3. Emecka

    Miaka 8 ya mahusiano, mama hatakia anioe

    hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na mkewe akarudi tena kwangu. ila mama yangu kagoma kabisaaaaa asinioe. kisa cha kumkataa ni hiki; alizaa...
  4. Emecka

    Kipi bora jamani?

    Heshima mbele wana MMU Naomba kuuliza, Hivi kipi bora kati ya hivi viwili. Kuolewa mke wa pili au kuwa nyumba ndogo. Toa sababu za kukubaliana na mojawapo kati ya hayo.
  5. Emecka

    Hii imekaaje

    Hii imekaaje wanaMMU, Unakuta mwanaume kaachana na mkewe wa ndoa kisha akaoa, ilakwenye documentation anawaandika mke wa ndoa na watoto ila Bi. Mdogo ndo hivyotena haandikwi wala hana reference yoyote katika document za huyo mwanaume. Lakini bi.mdogo ye anachojua kuwa kaolewa ila hana ndoa na...
  6. Emecka

    Mkopo kutoka Benki

    Salaam Wadau, Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48. Baada ya kupiga hesabu zangu nikakubaliana nao kisha nikachukua mkopo huo. Ila baada ya kuuchukua huo mkopo nikapewa schedule ya...
  7. Emecka

    tabora na kigoma

    habari za asubuhi mabibi na mabwana katika jamvi hili. jaman naombeni ushauri. nimepata kazi katika miji tajwa hapo juu. tabora na kigoma. mimi binafsi sijawahi kuishi wala kupita katika mji wa kigoma. isipokuwa tabora nilishawahi kupita tu tena nikiwa kwenye basi/ treni. je kati ya tabora na...
  8. Emecka

    Naomba ushauri wana jamii forum

    Ilikuwa ni mwaka 2005 nilipokuwa nasafiri toka Mtwara kuja Lindi, (mtwara ndio nyumbani na Lindi ni kituo cha kazi) ndani ya basi nilikaa kiti kimoja na mkaka mtanashati.. tulisalimiana na kila mtu akachukua hamsini zake… safari iliendelea lakini kwa bahati mbaya gari tulilokuwa tumepanda...
  9. Emecka

    wana chit chat kuna mgen hapa....

    wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi? angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi
  10. Emecka

    Hodi hodiiiiiiiiiii

    Hodi hodi humu ndani, naingia kwa kishindo, nikiwa nayo hamu, ushauri kuupata, naomba ushirikano, penye makosa mnikosoe na pia mnirekebishe, ushauri nitazingatia, na ushirikiano nitawapa, asanteni!
Back
Top Bottom