Search results

  1. LANCET

    Utata: Kwanini aliyemuua mwanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha hajakamatwa?

    Ni siku nne tangia mwanafunzi chuo cha uhasibu Arusha auawe! Vyombo vya usalama na serikali vimeweka nguvu zote katika ukamataji wa mbuge LEMA. Hakuna taarifa zozote za kusakwa na kukamatwa kwa muuaji. Je hii inaashiria nini? Au wanatwambia kuwa aliye kamatwa ndiye muuaji? Lema alikamatwa...
  2. LANCET

    updates mgomo: walimu wasalitiana

    Tumeshuhudia mgomo wa walimu ukianza kwa kasi ya ajabu hapo jana! Lakini cha kushangaza,leo karibia nchi nzima walimu wamerudi kazini kimya kimya. Hii inaashiria nini? Je huu ni uoga au tuuite ni utiifu? Je kwa mtindo huu walimu kutishiwa siku moja tu na kuanza kusalitiana inaashiria nini...
Back
Top Bottom