Search results

  1. C

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Nafikiri kama hujui maana na aina ya muungano si vibaya ukakaa kimya. Miungano iko ya aina nyingi. Ya kisiasa Ya kuuchumi kijamii/utamaduni na kijeshi. Muungano wetu ni wa kisiasa. Duniani mikataba ya miungano ya hivi ndo inatupa Federalism, Unions etc. Mifano uliyoitaja wewe ni ya kiuchumi. Ni...
  2. C

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    nakumbukia hadithi ya mjomba wangu kule longido aliyesema wanasiasa ni kama manyani tu. Wote ni wala mahindi.hata kama ametokea songea au mpanda. Tunabadilisha aina ya nyani ila bado tunaendela kupanda mahindi. Watayala tu hawa.
  3. C

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    mwenyezi mungu kaumba wajinga na wapumbavu. Kundi moja linafundishika lingime mashallah ...
  4. C

    Elections 2010 mwenye akili na apime

    "Fools talk, cowards are silent, wise men listen." — Carlos Ruiz Zafón (The Shadow of the Wind)
  5. C

    Elections 2010 mwenye akili na apime

    Zamani, mababu zetu kabla ya kwenda kuposa, walikuwa wanafanya uchunguzi wa binti, familia yake na tabia zake. cha msingi walikuwa wanaangalia kama kwao huko kuna matatizo ya wizi wizi ,umbeya, gubu , uwezo wa kuzaa nkZ Wakiridhika posa inapelekwa na taratibu zingine zinafuatilia. Nimekuwa...
Back
Top Bottom