Search results

  1. K

    Nimepoteza vyeti, msaada

    Naitwa Williard Maimu, ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro. Nilipoteza vyeti vya kidato cha nne, sita, diploma na cheti cha kuzaliwa. Naombeni msaada nawezaje kuvipata. 0714460301
  2. K

    Mwanachuo mzumbe anywa sumu na kufa

    Mwanachuo wa masters aliyekuwa anasoma mzumbe morogoro amefariki dunia baada ya kunywa sumu kufuatia matokeo mabaya ya UE yaani alidisco. Marehemu pia alikuwa ni afisa mipango dodoma. Alizikwa kwao mkoani njombe tar 8.
Back
Top Bottom