Search results

  1. K

    CHADEMA jibuni hizi shutuma tuwaelewe kama wanamabadiliko wa kweli

    Kuna mbinu nyingi za kufikia malengo, ndo maana hata paper wanafunz wapga chabo, wanatumia vibuti na mbwembwe kedekede. So we usiyetaka mabadiliko kaa huko huko.
  2. K

    Nimepoteza vyeti, msaada

    Naitwa Williard Maimu, ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro. Nilipoteza vyeti vya kidato cha nne, sita, diploma na cheti cha kuzaliwa. Naombeni msaada nawezaje kuvipata. 0714460301
  3. K

    Wasabato msituchangishe kama hamtaki bia

    ni ukosefu tu wa upeo, kwa kuwa mchango ni kufanikisha tukio na sio kwa interest za mchangaji. Ukitaka bia so lazima uvizie ulikochanga na km hunywi soda bas kunywa maji. Pombe haikubaliki.
  4. K

    Mwanachuo mzumbe anywa sumu na kufa

    Mwanachuo wa masters aliyekuwa anasoma mzumbe morogoro amefariki dunia baada ya kunywa sumu kufuatia matokeo mabaya ya UE yaani alidisco. Marehemu pia alikuwa ni afisa mipango dodoma. Alizikwa kwao mkoani njombe tar 8.
  5. K

    Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

    Ni heri ukutane na mnyama kuliko binadam mwenzio maana ni zaidi ya wanyama. Mungu utusaidie.
  6. K

    Mishahara ya walimu juu

    Hivi mleta mada unahisi mishahara ya walimu ikiongezwa itaongeza pia kiwango cha kufaulu kwa wanafunzi?
  7. K

    Ajali ya basi Gairo

    Uelewa ni mdogo sana juu ya matumizi ya barabara.
  8. K

    Mbunge: Kuna maaskofu wanahimiza kunywa pombe na kutovaa kondomu!

    Lengo ni kujenga na si kubomoa, tz serikal hafungaman na dini, so Kila mmoja afanye kaz yake.
  9. K

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Kaz ya MUNGU haina makosa, rest in peace RIP SHALO
  10. K

    Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

    Unapaswa kuwa na mtazamo mpya juu ya hilo, hapo hakuma kitu!!
  11. K

    ITV yaanika kila kitu na ushahidi wa kutosha kuhusu mauaji ya mwandishi huko Iringa

    Kimsingi vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na wazi katika kazi yao sasa hawa TBC vp? Tido alikuwa mzalendo.
  12. K

    Video ya mauaji ya Mwandishi wa Channel ten

    Hawa askari wanafanya kazi ya kuwinda raia badala ya kuwalinda, sasa hz damu za wasio na hatia watazilipa tu.
Back
Top Bottom