Search results

  1. D

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    But absolutely I'm very familiar with that cliche but let me ask you this simple question Democracy is a government of the people by the people and for the people but Democracy in Kenya is a government of tf the Kikuyu.by the Kikuyu and for the Kikuyu Why is that????
  2. D

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Uhuru Kenyatta will find it very hard to lead his country if he wins!! Bearing in mind that he has a case to answer in ICC let's keep our fingers crossed and see what he gets out of forcing his way in the Kenyan Top Office
  3. D

    Msuya anatibiwa hospitali ghali ya kifalme Uingereza

    Habari za Jioni Wana JF Katika Pitia yangu ya magazeti ya Leo Nimepata kuona Habari moja ambayo imenishangaza Kunisitisha na kuniacha nimeduwaa pale niliposoma kuwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzani Mzee Cleopa David Msuya amelazwa katika moja ya hospitali wanazotibiwa...
  4. D

    The essence of Issolation of Lindi and Mtwara

    let me start by congratulating you on your amazing approach on this current issue indeed Lindi and Mtwara have been isolated for many years but as the old saying goes "The stone looked down by the masons has turned up to be the foundation stone let us keep our fingers crossed and see what comes...
  5. D

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Mheshimiwa yupo Davos anakula bata huku mambo haya yakiendelea tunavyoongea hadi sasa IGP Said Mwema ameshatua mjini Masasi kujaribu kuzima vurugu hizi Kusema Ukweli wadau Jeshi la Polisi Limeoza pamoja na kusema kwamba Said Mwema ametoka Interpol lakini sioni hiyo Interpol Katika Jeshi Hili La...
  6. D

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    My Take in this argument is that " Politics is a very dirty game full of Hypocricy these women are behaving like teenagers I don't know where this country is heading to!!?? But all in all EL is trying to kill this Country"
  7. D

    Jeshi La Polisi Lajiandaa Vya Kutosha Kudhibiti uvunjifu wa amani baada ya swala ya i

    Wewe huwezi kuwaona but they'll know your every step and movement
  8. D

    Jeshi La Polisi Lajiandaa Vya Kutosha Kudhibiti uvunjifu wa amani baada ya swala ya i

    Wana JF Katika pita pita zangu katika mitaa mbalimbali nimeshuhudia POLISI wakiwa mita chache tu karibu na misikiti ili kuzuia uvunjifu wa amani wowote unaoweza kutokea baada ya swala ya ijumaa..
  9. D

    Mo Ibrahim: CCM awamu ya nne yavunja record utawala bora

    Utawala Bora in an IRONIC POINT OF VIEW WHAT AN INTERESTING SATIRE!!! Where is this country heading to?????
  10. D

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    They Can Say that CHADEMA wamehusika lakini wazungu Wanasema I quote "An eye for an eye and a tooth for a tooth" & "What goes around comes around" what they did to Hon Machemli and Hon Kiwia has boomeranged back to them
  11. D

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Hawachelewi Kusema KUWA CDM are responsible jinni vichwa vyao vilivyojaa Funza Na Matope
  12. D

    Kanga, chakula na kofia zinawafanya watanzania kuchagua viongozi wa ovyo ovyo - Jenerali Ulimwengu

    Hatua ya kuliuza Gazeti la Rai na Mtanzania ilikuwa ni Hatua ya kumnyamazisha Jenerali kuanika uozo unaoendelea hapa nchini.. Jenerali is the most powerful intelligent political activist I know..
  13. D

    Kanga, chakula na kofia zinawafanya watanzania kuchagua viongozi wa ovyo ovyo - Jenerali Ulimwengu

    Siyo Mara moja au mbili waliwahi kusema Jenerali siyo raia wa Nchi hii na kumtishia vile vile
  14. D

    Kanga, chakula na kofia zinawafanya watanzania kuchagua viongozi wa ovyo ovyo - Jenerali Ulimwengu

    Sawa hatujadili uraia ila suala la jiseme Watanzania ni vilaza is Totally Unacceptable
Back
Top Bottom