Tatizo ni pale kunapokuwa na Muungano unaoua mmoja wa waungana na kumwacha mwingine.
Zanzibar wanadai haki zao kwa vile WAPO (walibaki, na wamejiongezea uhuru). "Wabara" hawana pa kusimama kudai na kulinda maslahi yao kwa sababu Tanganyika HAIPO (ilifukiwa).
Ili twende vizuri, Tanganyika IWEPO...
:redface: Now I know why all the cry for the armed robberies on innocent tanzanian in Kigoma, go unaddressed!!!
A day will come for the turn of events; Insallah.
We all know it, GoT operatives!
They did this to Kubenea,Mwakyembe.....Kolimba, Gen Kombe...
The list is long.
When it happen to poor citizens, theculprits are never found.
When it is to do with GoT official and fellow Foreign louters,
the GoT arms work perfectly.
albinos cry, invain...
Tujiulize, hivi kiranja mkuu anafanya nini na zile orodha kede alizonazo (Wahujumu uchumi, wafanya biashara ya madawa ya kulevya, watuhumiwa wa RADA, ........) kwa zaidi ya miaka 5???!!!!
Hizi si dalili za wazi kwamba yanamkwama kwa sababu anahusika???
Kweli nawaambieni, hata kurudi pale...
Sitegemei "seriousness" yoyote ktk kushughulikia wezi/wabadhilifu ndani ya serikali ya "sisiem".
WM alisema wakishughulikiwa hao, nchi itayumba. Hivi sasa waona haiyumbi kwa sababu wao wamesimama,
wananchi wanyonge ndio tunaoyumba!
Lazima tutafute namna ya kuwawajibisha hawa, si wenzetu hata...
Mimi la kufelishwa makusudi nalikataa. Nilisoma Mtwara Technical na Dadi Yusuf Namtumba, aliongoza mchepuo wa "Mechanical" tangu siku ya kwanza hadi tunamaliza. Alipewa haki yake ya kuendelea na masomo Arusha Technical College. Katika familia yangu, babu mkubwa (kaka wa babu yangu) alifanya kazi...
Rais wa nchi yetu angekuwa na uchungu na Taifa hili angetumia ukali na makeke kama yale kukemea ufisadi na kurudisha fedha za EPA, kupunguza safari zake za nje akatumia teleconfrerncing, kuhakiki kodi wanazolipa wazekezaji (au wachukuaji) badala ya kukemea wafanyakazi na kuwatishia maisha...
Narudia tena kusema Mh. Rais ana kigugumizi kuwawajibisha kina Hosea na wengineo kwa vile anajua wataumbuana kama alivyosema Hosea "....kama ni kuumbuana hata mimi naweza sana".
Sasa waacheni waumbuane, wafitiniane, wafichiane maovu; mwishowe tuwatoe kama wote wanaogopana. Watanzania, muda...
Hiyo siyo siri mbona! Yeye atuambie kama anatumia raslimali zake pekee wakati akigombea uchaguzi bila fadhila za matajiri hao anaowasema. Hizi ndizo athari za utandawizi na soko huria. Wenye nazo wanaweza kununua chochote, utu, haki n.k
Who knows? even the government salary scale in Tanzania are a secret (not public). Recently, we heard the government secretly decided to increase the salarie for Judges, the speaker and the deputy, ministers, RCs, DCs, parliamentarians but not other civil servants b'coz there were not enough funds!
Dear JF member;
I have read and tried to follow the Tanzania Government Notice No. 223of 2007, Labour Institution Act section 39(1) and come to ask myself several questions with reagard to domestic workers.
Did the law makers take into consideration the diversity of employers to DWs?
Many...
Waheshimiwa;
Kuachia mafisadi na mbinu zao ziendelee kushamiri katika jamii kwa madai ya kujikita katika kutatua tatizo la ukosefu wa umeme kwanza, ni dalili za woga na uzandiki. Tukubaliane kwamba kununua mitambo ya DOWANS ni kuwastawisha na kuwapa ushindi MAFISADI. Next time, they will find...
Ndugu yangu FDR, kuchanganua ya Kaisari na ya Mola yataka hekima, sisi tulioUKOKA ktamgeukia .... tumeshukiwa na UROHO MTAKAVITU! Hayo ni maandiko MATIFUTIFU. JF kaza mwendo, na think smart; tutafika.
Kiberega, Ngenzebuhoro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.