Search results

  1. Liwalo-na-Liwe

    Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

    Utakuwa mchina kama siyo mgiriki, namkumbuka mzungu mmoja alikuwa akichapia kwa free style yako Mkuu
  2. Liwalo-na-Liwe

    Je, Ni Busara Vyama vya Siasa Kuingilia Utendaji wa Vyombo Vya Dola

    Wana Jamvi, Ni Busara viongozi wa Kisiasa Kutuhumu na Kukashfu watendaji wa Vyombo vya dola ambao ndio walinzi wa Nchi yetu. Nimepitia Threads kadhaa na kuona kuwa Wakuu wa Dola wanafanyiwa kejeli na kutuhumiwa kwenye mambo mengi ya kizushi eti tu kwa sababu wanalipwa mishahara ya walipa kodi...
  3. Liwalo-na-Liwe

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Mkuu naingiwa wasiwasi na mwenendo wako, kwa nini unampenda sana Premier CAMEROUN? Ungeenda wewe ulikuwa na hamu sana ya kupokewa naye? SIMBA KAPAKATWA PUB
  4. Liwalo-na-Liwe

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Mungi Mkuu naingiwa wasiwasi na mwenendo wako, kwa nini unampenda sana Premier CAMEROUN? Ungeenda wewe ulikuwa na hamu sana ya kupokewa naye? SIMBA KAPAKATWA PUB
  5. Liwalo-na-Liwe

    Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Tuhuma hapa ni Kutelekeza Mke wake na Watoto, mama huyo anadai haki yake habari ya kununuliwa si juu yetu, habari ya hila ya kisiasa dhamira ndani ya nafsi ya Dr. Slaa inafahamu. MASWALI YA KUJIBIWA NI KAMA IFUATAVYO: 1. WALIWAHI KUISHI PAMOJA ZAIDI YA MIEZI SITA? 2. DR. SLAA ANATUNZA WATOTO...
  6. Liwalo-na-Liwe

    Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    sina chama cha siasa niponipo kwanza, nafanya shughuli zangu zinaniingizia kipato halali nimeajiri vijana saba wote graduates wa hapa nchini. Maoni hayo yalikuwa mtazamo wangu tu, sijapenda unavyoni-force kuamini unachoamini. Nimeichangia ccm na chadema kwa nyakati tofauti, sijui mwenzangu...
  7. Liwalo-na-Liwe

    Kikwete for London Family Planning summit

    mjumbe aweda ni london siyo londone, (mji mkuu wa united kingdom -uk) karibu na great britain kule england nchini uingereza. Upo mjumbe?
  8. Liwalo-na-Liwe

    John Heche akwea pipa kuelekea nchini Moroco, Kuhutubia mkutano kesho

    pepopunda pepopunda tanira, Kajambishwa mwingine TUMBO linakuuma wewe, Kweli UTAWAJUA TU KWA MATENDO YAO
  9. Liwalo-na-Liwe

    MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    atakanushia wapi kwani kubenea alimfuata au ameandika tu, anaweza kukanusha hilo likaibuka jingine la kizushi pia. Mambo ya ngoswe .......ya nini kulala roho juu kisa mdomo? Mdomo waponza kichwa
  10. Liwalo-na-Liwe

    John Heche akwea pipa kuelekea nchini Moroco, Kuhutubia mkutano kesho

    Ila waarabu siyo wazuri sana, tabia zao ni za Mombasa na Unguja Pemba
  11. Liwalo-na-Liwe

    Kikwete for London Family Planning summit

    JF Staffs, hii siyo sehemu ya masharti yenu? 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. Wadau wengi wamekuwa wakiivunja kanuni hii ambayo tulikubaliana tangu 2006; haturuhusu kwa namna yoyote iwayo kuvunjiana heshima kwa makusudi wala matusi kwa namna yoyote iwayo. Mfano...
Back
Top Bottom