wadau naombeni munishauri nataka kununua SUZUKI KEI kwa shughuli zangu binafsi, nimeipenda kwa sababu ina CC ndogo yaani 660 tu. na pia naweza kuifanyia biashara kama vile taxi kama nikiamua ila tatizo sijajua ubora wa hii gari.
wakuu naombeni ushauri wenu.
licha ya kuwa kila mpinzani anaesimama bungeni hutoa hoja na takwimu kutoka katika rasimu ya tume ya mheshimiwa jaji warioba na kuelezea kinaga ubaga lakini ccm wamebaki na misimamo, kushangilia na kuzomea kana kwamba katiba ni inayotengenezwa ni ya vyama kumbe ni ya wananchi.
nashauri wapinzani...
Kumekuwa na hoja kuwa uwepo wa serikali tatu katika rasimu ya katiba kuwa itasababisha gharama kubwa za matumizi kwa serikali hizo.
Kwa maoni yangu hoja hii naona si kweli kwa sababu, rasimu inashauri kuwa ukubwa wa serikali ya sasa umepitiliza hivyo naamini kwa serikali tatu, mawaziri watakuwa...
serikali ya CCM imeshindwa kabisa kutatua kero mbalimbali za waislam nchini,
Kuna kelele nyingi zinapigwa kuwa CHADEMA kina mtizamo hasi katika mambo ya Waislam,
sasa maoni yangu ni kuwa CHADEMA ahidini kutatua kero za waislam ili kuondoa fikra hizo,
na pia kuongeza wapiga kura wengi zaidi wa...
NDUGU KABWE Z. ZITTO, MB BUNGENI TAREHE 6 MEI, 2013
Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia leo katika mjadala huu muhimu sana.
Hapa Afrika kulikuwa kuna nchi, na bado ipo, inaitwa Ivory Coast. Ilikuwa ni nchi ambayo inasifika sana kwa amani na...
NDUGU KABWE Z. ZITTO, MB BUNGENI TAREHE 6 MEI, 2013
Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia leo katika mjadala huu muhimu sana.
Hapa Afrika kulikuwa kuna nchi, na bado ipo, inaitwa Ivory Coast. Ilikuwa ni nchi ambayo inasifika sana kwa amani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.