Sasa ninaamini kile alichokisema Confucius (551-478)BC Mwanafalsafa wa uchina kuwa "Kwa nchi inayoongozwa vizuri umaskini ni kitu cha aibu na kwa nchi inayoongozwa vibaya utajiri ni kitu cha aibu pia".Rasilimali na fursa pekee hazitoshi bali ni uongozi bora na wenye fikra hai!
Sasa naamini kile alichokisema Confucius (551-478)BC Mwanafalsafa wa uchina kuwa "Kwa nchi inayotawaliwa vizuri umaskini ni kitu cha aibu na kwa nchi inayotawaliwa vibaya utajiri ni kitu cha aibu pia".Rasilimali na fursa pekee havitoshi bali ni uongozi bora na wenye fikra hai!!
Madaktari ni watu wenye akili timamu,tukumbuke wanagoma kwanza kwa maslahi ya watanzania (Wanaokufa huku madaktari wakiwaangalia kwa huruma kwa ukosefu wa vitendea kazi) pia kwa ajili yao (Mazingira magumu ya kazi na gharama kubwa ya maisha).Serikali zingatieni madai yao (Hata kama nyinyi...
Mtazamo wa wengi wanapoingia madarakani ni kuleta maendeleo ya kweli na ya haki lakini wanapokuta mfumo unanuka kwa kupendeleana na umeoza kwa rushwa nao hujikuta wameingia.Tatizo hapa ni watu na mfumo
Wakati serikali ikipuuza madai ya madaktari,walimu na watumishi wengine wenzetu Rwanda wanafanya kweli.Yaani hata bajeti yetu inaendana na nchi ndogo kama Rwanda jamani hii ni sawa?.Serikali timiza madai ya watu wako!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.