Search results

  1. L

    mlio owa.... na kuolewa...bomani...!!

    [QUOTE=Somoe; wale mavuzi lela kama...... lengo sio kusikiriza ambao hawajuwi... ugekuwa umeolewa/ au kuowa ungefaham namaanisha nini...! ngoja nikupe kidogo... ukiwa na matatizo na mke au mume nilazima wazazi wote wa kuke na kuume wakutane na kutatua tatizo la wahusika... kwa ufaham wangu...
  2. L

    mlio owa.... na kuolewa...bomani...!!

    unandoa ya bomani...? kama hauna na huna ufaham juu ya hilo sio lazima...! nahisi wewe haikuhusu wala hujuwi lolote. wewe umri wako bado mdogo ndio maana hujuwi kawaulize wakubwa zako.....¡
  3. L

    mlio owa.... na kuolewa...bomani...!!

    habari za cku wana JF.....? nitafurahi sana kusikia maoni yenu hasa mlio oleana bomani.. yani ndowa ya kiselikali. hivi inakuwa na ushirikiano kweli wa pande mbili....? hasa wakati wa matatizo ya wanandoa hawa...? natumaini mengi kutoka kwenu asante by Luku_77
  4. L

    housegirl wangu.......sijamwelewa kwaakweli

    [QUOTE=genltesoul;...............sijuwi bado unasubiri nn kumludisha kwao...? wewe ulitaka mfanya kazi sio..? wala hukuambiwa kabla juu ya tatizo lake........ umejificha kwenye jumba bovu na mvua inanyesha subiri likuangukie........!!!!!!!!!!!!!!!
  5. L

    nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    [QUOTE= safi sana kaka nakutakia kila la kheri ila nakutahadharisha jukwaa hili lina kila aina ya pipol! wapo wakweli na wasanii! nenda taratibu jambua upi mchele zipi pumba! nakitakia cku njema!
  6. L

    Natafuta mchumba(mume)

  7. L

    bado ninaimani na JF

    asante kwa swali na jibu ni hili » mpaka mda huu sina habari za kutosha kuhusu yeye. kwao ni dsm na sijuwi kama yupo kwao au laaa!
  8. L

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuzuia mimba baada ya tendo la ndoa

    sasa mtu kaomba msaada mwenye kaujuzi atoe.! kama huna acha wenye nacho waseme! maisha ya sasa ni magumu sana kupanga uzazi ni muhim.! Mimi nakushauri kuna vitabu vinauzwa vinahusu uzazi.! vinaeleza wakati gani ni salama ambao utafanya tendo bila condom, ukikipata kitabuhi onana na dagitari...
  9. L

    bado ninaimani na JF

    hofu yanini..? kama unaogopa kujaribu haifai kabisa.! siku zote ukiwa na hofu na unachotaka kufanya hata ukijaribu hutafanikiwa. nakutakia siku njema.
  10. L

    bado ninaimani na JF

    kisukuma sio pingamizi.!
  11. L

    bado ninaimani na JF

    yeah nawe umesema!
  12. L

    bado ninaimani na JF

    yeah thanx!
  13. L

    bado ninaimani na JF

    habari za leo wa jf ? anae tafuta hachoki bali hupumzika tu, leo naamua niendelee na zowezi la usaili umri wangu ni 35 jisia mme nina watoto 2. elimu ataijuwa badae, rangi yangu mweusi, nafanya kazi ambayo inakizi mahitaji ya msingi. ninae mtafuta wakike miaka 22 hadi 32 sifa mama awe...
  14. L

    Sitaki Tena

  15. L

    Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    [QUOTE=AmKATRINA;45 pole sana ngoja nikueleze kitu mpishi mzuri hufanya maandalizi kama anapika wali ni lazima mchele auchambue. na wanaume wa siku hizi hawajuwi haya! wakiona mchele wao kupika tu. sasa wewe nahisi keep in tuch with mimi nakutakia siku njema.
  16. L

    Mwanamke aliyekeketwa na kuridhishwa kimapenzi (sex satisfaction)

    ndio maana ukimkuta alie keketwe kaamuwa kufanya umalaya hashikiki anaweza kuumaliza mji wote. na lie tulia hata akikaa miaka 10 bila mme kwake ni sawa tu. ndio maana selikali ikapiga marufuku! maana wanakoseshwa haki yao ya msingi..! ya kupata utamu na raha ya tendo landowa.
  17. L

    Mwanamke aliyekeketwa na kuridhishwa kimapenzi (sex satisfaction)

    huyo kina alikuwa yuko asili 100% nimeshawahi kukutana na dada kama huyo! ila alikuwa muwazi sana aliniambia kila kitu juu ya anvojisikia. nikweli hafiki kileleni kabisa!
  18. L

    Msaada jamani niko njia panda.

    chagua kinachokufaaa dini au mchumba!
  19. L

    Msaada jamani niko njia panda.

    chagua moja dini au mchumba!
Back
Top Bottom