Search results

  1. K

    Dell cpu for sale

    CPU za dell zipo zaidi ya hamsini zinauzwa lakini zipo zanzibar USED, zinafanya kazi. Hard disc 40. Ram 512. Bei ni laki moja kwa kila CPU. Pia zipo monitors kabila tofauti bei ni elfu 80 kwa moja. Kama upo interested piga namba hii 0772692224. Model ya CPU ni hii hapa
  2. K

    Msaada wa Maelezo

    Habari zenu wakuu? Nilikuwa naomba kuulizia soko la gari pick up crew cab (double cabin) za Mitsubishi L200. Soko lake likoje Tanzania na bei zake zinazunguka ngapi? nazungumzia miaka kuanzia 94 - 2003. Please mwenye kujua anijuze. Nawashkuru sana in advance.
  3. K

    Mitsubishi Fuso For Sale.

    Mitsubishi Fuso Mwaka 93, engine 6D14, tonne 7, ina tipper (tipping gear), ipo Zanzibar na imeshalipiwa kila kitu. Imeingia nchini karibuni na haijatumika. Engine ipo fresh sana, nenda ukaione na fundi unaemuamini kabisa. Kama upo interested contact number ni hii 0772692224. Bei ni milioni 30...
  4. K

    Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Toyota Hilux, Engine 2.8, 3L ,non turbo, Crew cab, ipo Zanzibar, imeingia nchini na haijatumika lakini imeshasajiliwa na kulipiwa kila kitu. Picha zimenishinda kuweka lakini kwa ambae yuko interested namba ni hii 0772692224. Bei Milioni 18. Gari ipo poa na kuipenda ni guarantee. Ahsanteni...
Back
Top Bottom