Mitsubishi Fuso For Sale.

Kompyuta

Member
Jul 3, 2012
18
0
Mitsubishi Fuso Mwaka 93, engine 6D14, tonne 7, ina tipper (tipping gear), ipo Zanzibar na imeshalipiwa kila kitu. Imeingia nchini karibuni na haijatumika. Engine ipo fresh sana, nenda ukaione na fundi unaemuamini kabisa. Kama upo interested contact number ni hii 0772692224. Bei ni milioni 30. Asanteni sana
 

Attachments

  • PA020007.JPG
    PA020007.JPG
    678.3 KB · Views: 87
  • PA020008.JPG
    PA020008.JPG
    763.7 KB · Views: 79
  • PA020019.JPG
    PA020019.JPG
    748.6 KB · Views: 72
Wakuu pia kama una maongezi zaidi unaweza ukaniPM kama utaona usumbufu kupiga hiyo namba, gari lipo bado. Asanteni
 
Wakuu gari bado ipo na maongezi ya kibiashara yanakaribishwa . Gari ni Mjapan mwenyewe kabisa. Shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom