Search results

  1. K

    CCM ilivyopoteza Mgombea Meru - Vielelezo thibitishi

    Hujasomeka mkuu,Labda ungetuwekea na fomu ya uteuzi ya chama chake.
  2. K

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Kama waislam wote wangeikubali mahakama ya kadhi, kusingekuwa na ulazima wa kuingiza suala hili kwenye katiba. Wanaomba mahakama hii iingizwe kwenye katiba na sheria za nchi kwa vile baadhi ya waislam hawaitaki ili serikali iwasaidie kuwabana waislamu wasioitaka mahakama hii ya kadhi...
  3. K

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Hapa upo sawa kabisa mkuu. Na kwa hoja yako hii hakuna hata haja ya kulazimisha mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye katiba. Mwislam yeyote atakayekataa kutii maamuzi ya kadhi na kukimbilia kwenye mahakama za makafiri, AKATWE KICHWA. LAKN NA WEWE UWE TAYARI KUKATWA KICHWA KWA MATENDO YAKO MAOVU.
  4. K

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Aha ha ha haaa. Hee! Kujadiliana na akili ya namna hii si rahisi kupata muafaka labda mpaka Yesu arudi. E Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui walisemalo.
  5. K

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Kwani wewe unadhani kuwa wakristo wote wana akili ya kutambua madhara ya jambo baya kama hili? Kuna wakristo wachache wenye ufahamu mdogo kama wewe ambao wanahitaji kukalishwa darasan ndipo waelewe kisa cha waislam kushupalia jambo hili.
  6. K

    Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.

    Mwanawane, kwanza nakupongeza sana kwa uchambuzi wako wa kina juu ya mahakama ya kadhi. Ukweli Wakristo hawaikatai mahakama ya kadhi Wakristo wanachotaka ni mahakama ya kadhi isitambuliwe na sheria yoyote ya nchi pia isigharamiwe na Serikali yetu kupitia kodi za Watanzania.
  7. K

    Pengo: Nimesamehe

    Safi sana mseminary, uko na busara, nimeipenda. Ubarikiwe.
  8. K

    Pengo: Nimesamehe

    Hii nimeipenda sana. Nakupongeza sana.
  9. K

    kijiji cha kaseke CHADEMA juu kwa juu

    Mungu wa Israel ahimidiwe na jina lake Yehova litukuzwe. Asante kwa taarifa njema.
  10. K

    Kinana ameua kabisa upinzani

    Watu wengine bana! Sijui huwa wanakosa cha kuandika? Mtakuja kubebwa mzega mzega kupelekwa Milembe kupimwa wakidhani mnaumwa. (Akili). Siku nzima unakaa unafikiria cha kuandika hatimaye unaibuka na uoza kama huu? Au unapenda kuona wangapi wanachangia hoja yako?
  11. K

    Arusha: Tishio la CHADEMA kuandamana nchi nzima, Polisi wakesha wakilinda sehemu za wazi

    Badala ya cdm kuandamana sasa polisi ndo wanaandamana. cdm wamepiga goli la nguvu bila jasho kwani message yao imekuwa sent na polisi.
  12. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

    Hakuna jipya hapa. Anachowasilisha Chenge ni kile kile.
  13. K

    Cheyo, Waislamu wameitisha kikao kupinga katiba,na mimi niitishe cha Wakristo

    Wana jf, nawaomba yeyote mwenye link ya muundo (Proposed Organization structure) wa mahakama ya kadhi wa nchi nzima na bajeti yake aiweke humu ili tuweze kujua kwa undani gharama zake.
  14. K

    Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

    Umenifurahisha sana mkuu. Tunataka watu kama wew mnaoandika baada ya kujisumbua kufsnya utafiti wa kina.
  15. K

    Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

    Hata kama asingekuwa ametumwa kugombea nafasi ya uenyekeiti, ni vigumu sana kwa mtu mwenye njaa kali kama mbarouk kuongoza cdm; ataiuza ndani ya miezi michache sana. Mtu mwenye akili timamu na anayeishi bila kutegemea makombo ya ccm anajua madhila makubwa wanayopambana nayo viongozi wa cdm...
  16. K

    Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

    Uelewa wako finyu wa mambo ya Nchi hii ndo unaokufanya uamini kuwa mbarouk ni wa cdm au ni kutokana na makombo ya ccm unayokula?
  17. K

    CHADEMA yazidi kudhoofika,viongozi Urambo wajivua magwanda

    SOURCE::MAGAZETI YA LEO. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na mpenda taifa lake anayeweza kuondoka cdm kwenda ccm. Ijulikane kuwa ndani ya cdm kuna mapandikizi ya ccm na ndo hayo yanayoshindwa kupumua vizuri ndani ya cdm na kuamua kurudi kwao. Inafaa jamii itambue kuwa watu wa namna...
  18. K

    ITV: Wassira anaamini kuwa bado serikali mbili,mapungufu yatarekebishwa

    Kama kuna mtanzania aliyeisikiliza hotuba ya Warioba ya leo na bado anadai Serikali mbili au moja, huyo ni vema akapimwe akili Milembe Dodoma.
  19. K

    Plan za CCM kuihujumu CHADEMA Kalenga ni za kipumbavu, tena upumbavu uliopitiliza

    Ombi langu baada ya tume ya uchaguzi kutangaza matokeo ya kalenga, Viongozi wa CHADEMA wachapishe matokeo ya kila kituo na kata zote na kuyaweka kwenye mitandao au magazeti ili tujue kama kilichotangazwa na tume ni sahihi ama la.
  20. K

    Uchaguzi wa kalenga wa kesho: Chadema tupatieni matokeo ya kila kituo na kila kata

    Kwa vile huko nyuma zimekuwepo hisia na tetesi za kuibwa kura kwenye chaguzi mbalimbali za mitaa, vijiji, kata na majimbo; nawaomba Viongozi wa CHADEMA mara baada ya tume ya uchaguzi kutangaza matokeo watupatie orodha ya kata na ikiwezekana vituo vyote vya kupigia kura katika kila kata na...
Back
Top Bottom