Search results

  1. Ndukidi

    Napendekeza rasmi jina la ufupisho la mama liwe SASHA

    Wazo tunduizi... tuombe MATAGA watuunge mkono kwa wazo hili. Mama SASHA woyee
  2. Ndukidi

    Mbowe, mkanye Lissu

    Lete tweet zako wewe Bwana Ndabila ukikemea maovu yoyote yaliyotokea? tujue kweli wewe ni Mwana Afrika. La sihivyo ufunge bakuli.
  3. Ndukidi

    Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    Basi jitahidini huyu mama apelekwe kwa wazee... ukiweza pata kaka wa huyu mama au mjomba wa mchumba wako pia akiwa upande wenu mtalimaliza hili. Mwambie mchumba wako akaongee na mjomba wake mkubwa kama yupo.
  4. Ndukidi

    Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    1. Mumeo anakupenda, YES 2. Baba Mkwe anasemaje? au yuko na mkewe? 3.Kama baba mkwe anataka mwanane akuwowe, hakikisheni huyo mama anaongea na wazee (Hili swala baba na mwanae wanaweza lisimamia) 4. Ikishindikana fungeni ndoa, muombeni Mungu, kikubwa wewe ondoa chuki na mama mkwe, hakikisha...
  5. Ndukidi

    Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Asiee tuna kazi sana, kama wataalam kama hao wameshindwa kujikinga hivyo, tutegemee hawa raia humu kwenye dala dala inakuwaje?
  6. Ndukidi

    Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Hatari sana, hivi Kwa Maelekezo ya Wizara ya Afya, huyu bwana alikuwa sahihi kuongea vile na kikohozi bila barakoa? Pembeni akiwa na wape jamaa wawili nao bila barakoa za kutengenezwa MSD?
  7. Ndukidi

    Wanasiasa acheni ushamba wa kuchoma moto mali za familia kwa kisingizio cha "hasira" za kufelishwa Uchaguzi!

    Unaonaje wale wanaopigwa risasi Pemba na Unguja, na walikatwa mapanga Mara ni ushamba? Au mkuki kwa nguruwe? Tuliza ball.
  8. Ndukidi

    Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

    Buberwa, je Seif anagombea nini huku bara. Huku Bara Seif ni moiga kura tu kama wewe au mimi na ana haki ya kwenda mkutano wa mgombea urais yeyote anayetaka yeye, ikiwamo rais Magufuli kusikiliza hotuba zake ili ajue anamchagua nani katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri. F
  9. Ndukidi

    Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

    Maalim Seif kama mtanzania mwingune ana uamuzi wake wa kwenda kuhudhuria kampeni popote za mtu anaona anafaa kuwa Raisi, je angeenda kwa JPM angeandikiwa barua? Kumbuka yeye sio mgombea wa urais Bara. Yeye na Mrema hawana tofauti, haya tuone barua nyingine kwa Mrema.
  10. Ndukidi

    Dkt. Magufuli ana mpango wa kubadilika awamu ya pili?

    Sio kwa jinsi mlimvyomtesa ... mpaka anapiga magoti mzee wa watu.
  11. Ndukidi

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

    Aanataka kuanza biashara ya mitumba, sasa kama mfanya biashara mpya lazima ujue kodi utalipaje? Au unaonaje mteja wake?
  12. Ndukidi

    Huyu mke wangu tatizo

    Mkeo anakupenda sana, ila wewe hujui tu...
  13. Ndukidi

    Kifahamu chumba kiitwacho Room 39 kipo Korea Kaskazini. Majasusi wote hatari hutoka humo Inasadikiwa kinaendeshwa na Kim Yo-jong dada yake Kim Jong-un

    Mume wa Kim Yo - Jong ni Choe Song na sio Chong Ryong-hae kama unavyosema. Naamini kuna utatanishi kwenye taarifa yako.
  14. Ndukidi

    Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

    Hivi ni tofauti na huyu rafiki yake Kigwangala aliyepo TBC kila siku akitudanganya? Sheria ya Kigwangala sijui iliishia wapi.
  15. Ndukidi

    Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Pombe inafanya visa, visa anafanya mnywaji kwa kuzidisha pombe. Pombe kama Pombe haina shida yoyote ni kinywaji.
  16. Ndukidi

    Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

    Unaruhusiwa hata wewe kuweka kikubwa uwe kada na tukujue.
  17. Ndukidi

    Miaka 60 baada ya Uhuru Tanzania ni kati ya nchi 28 masiki kabisa Dunia, IMF wametupa pesa

    Watakuwa wamekosea, juzi juzi tu hapa tumeambiwa uchumi wetu umekuwa wa kati, hatuhitaji ,misaada tunajitegema ni dona kantri.
Back
Top Bottom