Search results

  1. I

    Watumishi wa umma: Huduma ya Watumishi Portal inafanya kazi?

    Wapigie Dawati La Msaada, Wana Kusaidia Haraka Tu.
  2. I

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu wa shule ya sekondari iliyoko Wilaya ya Mbozi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, yeye aje Wilaya ya Mbozi mimi niende Halmashauri ya jiji la Mbeya au Mbeya vijijini. Nina miaka minnne kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pm :
  3. I

    kitakacho mpa ushindi lowasa hiki apa

    Mgombea wa upinzani mwaka huu, kwa huku vijijini ni maarufu kuliko wa chama tawala.
  4. I

    Tanganyika imerudi

    Ndiyo irudi
  5. I

    Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

    Imekaa vizuri sana, hongera Jaji Warioba na tume yako.
  6. I

    kutoka uwanja wa Mbowe karatu

    Viva chademaaaaaaaa.
  7. I

    Ukweli katika nukuu hii

    Miaka kumi iliyopita mwanahabari mmoja aliwahi kuandika hivi: “Kuepusha fedheha kwa nchi mskini, kwanza lazima nchi msikini zitafute njia bora za kuleta maendeleo kwa wananchi wao Kwa kutumia vema rasilimali walizonazo. Nchi masikini hazijiamini ziko legelege mno jambo dogo tu laweza...
  8. I

    Nukuu muhimu

    Miaka kumi iliyopita mwanahabari mmoja aliwahi kuandika hivi: “Kuepusha fedheha kwa nchi mskini, kwanza lazima nchi msikini lazima zitafute njia bora za kuleta maendeleo kwa wananchi wao Kwa kutumia vema rasilimali walizonazo. Nchi masikini hazijiamini ziko legelege mno jambo dogo tu laweza...
  9. I

    Makarani wa sensa wilaya ya uyui,mkoani tabora watelekezwa na serikali bila malipo

    Hawa jamaa walikurupuka matatizo hayo yapo karibu kila mahali palipo fanyika hizo semina za sensa kwa nchi nzima na sidhani kama kutakuwa na ufanisi katika zoezi zima.
  10. I

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Katika sintofahamu kama hii, bora akapumzike mbali kidogo, na Mungu atamsaidia.
Back
Top Bottom