Search results

  1. DEKABOY

    Mpenzi wangu bikira

    Angalia isije ikawa ya kichina
  2. DEKABOY

    Kikwete amteua Prof. Peter Msolla kuwa Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais

    Kazi kweli kweli, kwa mwendo huu ata waziri mkuu naye atateuliwa mtu wa kumshauri.
  3. DEKABOY

    Wadau wa chelsea mpo?

    Benitez anatuzingua, ila habari njema kwa wadau wote ni kuwa "THE SPECIAL ONE" anarudi na anakuja na R.Falcao. Nimesoma kwenye mtandao kocha wa Young boyz yaan ARSENAL ameisha anza kuhaha... Big up to all Chelsea fans.
  4. DEKABOY

    Vijana wa kitanzania

    Hakuna ubishi ya kuwa taifa lolote linakombolewa na vijana. Lakini je vijana wa Tanzania tunajua hilo au tunabakia kupiga kelele bila kuonesha upambanaji wa dhati ili kulikomboa taifa letu? Tuamke vijana tusikalie kuvaa miregezo kwa vijana wa kiume na kuvaa nusu uchi kwa vijana wa kike. Note...
  5. DEKABOY

    Ukitaka wife material be a husband material kwanza

    Dah hiyo ni kweli ila kwasasa wife money ndo wengi kuliko wife material so wanaume wanapata kazi kweli kupata wife material.
  6. DEKABOY

    Ndugai: Mawaziri kutokuwepo Bungeni wakati hoja inajadiliwa ni Sawa!

    Ni jambo la kutia aibu, alafu bado rais anasema ajashindwa kuongoza nchi, Jaman Mungu tusaidie.
  7. DEKABOY

    Mnyika ana hoja: Uwingi wa CCM bungeni wamwangusha juu ya bil 29 za rais

    Nilichogundua ni kwamba CCM wanajiandaa kuacha nchi ktk kaburi lefu la umaskini.
  8. DEKABOY

    Kuanguka kwa jengo

    Thanx, bro.
  9. DEKABOY

    Kuanguka kwa jengo

    Hebu fuatilia kwanza usiwadanganye watanzania maana kuanguka kwa jengo sio swala la engineer anayesimamia tu.
  10. DEKABOY

    Anatafutwa Binti mwanadar es salaam asiye na halaka ya ngono

    Safi sana wote wangekuwa hivyo jiji la dar tungekuwa mbali. Bigup man.
  11. DEKABOY

    Kuanguka kwa jengo

    Jamani wana JF wenzangu naomba information kuhusu kuanguka kwa jengo la kariakoo hapo majuzi.
  12. DEKABOY

    engeneer aliyemaliza udsm

    Nathani ungefuatilia kwanza maana sidhani kama unajua watu wanoahusika mpaka jengo lisimame.
  13. DEKABOY

    Mwafrika apigiwa debe kuwa Papa

    Sidhani kama PAPA anapatikana kiurahisi hivyo.
  14. DEKABOY

    Makachero wa kimataifa wabaini Tanzania ni kituo dawa za kulevya, Serikali yakiri!

    Na kwa style hii matokeo ya form four biashara itaongezeka maradufu. Cha msingi serikali itoke usingizini na iachane na usharobalo wake.
  15. DEKABOY

    Wanawake wenye sura mbaya mbaya wana akili zaidi ya wanawake warembo.

    Sometimes true, sometimes not. Think twice.
  16. DEKABOY

    Picha yangu ya leo hii

    Hizi picha zote za leo ni noma maana ni picha zinazo onyesha ukweli wa mambo.
  17. DEKABOY

    Somo la Sayansi lafutwa Tanzania.

    Mbona na uchawi ni sayansi inayotisha?
  18. DEKABOY

    Somo la Sayansi lafutwa Tanzania.

    We noma, maana umenikumbusha mbali, kule LOLIONDOOOOO.....!!!
Back
Top Bottom