Search results

  1. G

    Utapeli wa kampuni ya bayport financial services

    Kampuni hii imekua ikijiendesha kwa ujanja ujanja Wa kudhulumu hali za msingi katika mikataba wanayoingia baina yao na Wateja wao.mfano mteja katika mkataba wake ana kipengele cha Ku clear deni LA mkopo pindi atakapotaka kufanya hivyo, shida inakua kutokea wakati mteja amejaza documents zake...
  2. G

    Azam TV wanazingua

    Kaka Dstv habari nyingine kabisa, kama umeset dish signal strength and quality zikawa above 70% wewe hata mvua ya mawe uje anapiga mzigo, Mimi toka nimeanza kutuma nakaa ukanda wenye mvua sana Kilimanjaro lakini sijawahi kumbana na hicho kimeo cha kukata kata. Ndio mana tunalipa ghali usifikiri...
  3. G

    Wapinzani tuache ndoto za mchana

    Kumekua na upotoshaji Wa ajabu unaofanywa na upinzani katika kiwango kisichoelezeka. Wanatuambia mwaka 2015 waliibiwa kura za uraisi, OK tu assume kuwa kweli mliibiwa kura za uraisi hivyo mlishinda uraisi, sasa tuje katika upande Wa viti vya ubunge, mlishinda vingapi kulinganisha na Chama...
  4. G

    Upinzani wakanusha kuchukua posho, wataka zifutwe kabisa kama serikali inabana matumizi kweli

    Kuna haja ya kupimwa akili wewe kiumbe, really upo kama mnyama na labda ni zaidi ya mnyama
  5. G

    TRA na ushuru wa kuingiza gari

    kumbe kaka hujui, gari inapokua brand new FOB na CIF ndio hua kubwa but cost zingine ambazo ndo hutuua kama Import duty,engine capacity, year of manufacturer na vingine na hivi hua ghali endapo gari yako ni ya zamani sana ni ni nafuu almost 0 endapo gari yako brand new
  6. G

    Bangi mbaya

    Hahahahaha
  7. G

    Professor Lipumba Anapokandia Umuhimu wa Elimu tueleweje?

    Tuache upuuzi kama hujui hata main point ya speech ya muongeagi bora ukajisaidie you kwanza.hapa Lipumba hajakataa elimu but isiwe kigezo kwani according to mifano yake kaonyesha watu wenye great success but hawakupiga xul(hapa ni hekima na busara) but tucheki mtu kama Muhongo,Mwigulu na engine...
  8. G

    Je ni kweli Tanzania tunaweza piga hatua kweli? soma hapa

    Inasikitisha kuona watanzania tulio wengi tunaishia kulalama kila uchao kuhusu uozo wa viongozi wetu na maamuzi yao ya hovyo lakini tunashindwa kuchukua hatua stahiki. My take: Ni bora mtu ukakaa kimya kuliko kutokwa na povu jingi mdomoni ktk mitandao ya kijamii wakati ukuambiwa u act ktk...
  9. G

    Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    we fuso yaonesha unaakili ka za mamba yani unataka kutuaminisha hapa kuwa kila doctor ana hospital yake/ kweli wewe kafara tupu
  10. G

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    hatari hii jamani kama ishu ni kweli kama ilivyoelezwa na baadhi wa wachangiaji
Back
Top Bottom