Gheto's King
Member
- Jun 27, 2012
- 11
- 0
Inasikitisha kuona watanzania tulio wengi tunaishia kulalama kila uchao kuhusu uozo wa viongozi wetu na maamuzi yao ya hovyo lakini tunashindwa kuchukua hatua stahiki.
My take:
Ni bora mtu ukakaa kimya kuliko kutokwa na povu jingi mdomoni ktk mitandao ya kijamii wakati ukuambiwa u act ktk unayoongea huwezi.
Conclusion:
Upoyoyo wetu ndo umetumiwa ipasavyo na viongozi wetu kutumaliza ktk kila secta. wanajua utambwela after few days unasahau. Ingependeza kama tungenyamaza afu tujitazame kama tunaweza kufanya tunachosema. Ni aibu nadhan hata mataifa ya wenzetu wanatucheka tunavyohangaika kila uchao kutafuta mchawi wakati mchawi tulionae anafahamika "UOGA". Nadhani hakuna taifa linaloongoza kwa kuwa na wananchi "WAOGA" kama Tanzania.