Search results

  1. Omutwale

    Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

    Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije. Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi...
  2. Omutwale

    Nadharia ya Kamanda Sirro Kwenye Anguko la Makonda

    Hii ni conspiracy theory yangu na uwezekano wake kuwa kweli ni mdogo. Ina hypothesis mbili: Hypothesisi 1: Kamanda Sirro kwa niaba ya system iliyojeruika anamuongoza Makonda kwenda kujizika na Makonda anafuata njia kwa mbwembwe na madaha bila kujua. Hypothesisi 2: Papo hapo, Rais asipokuwa...
  3. Omutwale

    Nahitaji Mapipa ya Lita 250> na Mfuniko Kama Haya!

    Kwa muuzaji mwenye hii bidhaa tuwasiliane kwa PM au email: tanvanille@gmail.com
  4. Omutwale

    Two brothers found innocent after spending 30 years in jail

    The American judicial system will so pay through their noses for this. How can someone go to jail for 30 friggin years for a crime they did not commit? These dudes had better slap the government with nothing less than a Fifty Billion Dollar law suit.Two US men who spent three decades in prison...
  5. Omutwale

    Maonyesho ya biashara ni chanzo cha wahamiaji haramu ?

    Kumekuwepo na ongezeko la kasi ya ajabu la wageni kutoka nchi za Uturuki, Pakistan, Syria, India na China nchini Tanzania. Wageni hawa hutawakuta mahotelini wala kwenye nyumba za wageni (Guest Houses) bali wanakusanyana kwenye nyumba za mitaani zenye mageti makubwa na ulinzi mkali. Katika...
  6. Omutwale

    CHADEMA, Zitto anakamilisha "siku zake 40" kisha ushindi unafuata!

    Kwa wajuzi wa masuala ya Ilmu ahera na masuala ya Kiroho wanafahamu maana na uzito wa namba namba 40. Yesu Kristu alifunga, akikesha na kusali kwa siku 40-AKASHINDA! Yesu Kristu alijalibiwa na shetani Jangwani kwa siku 40-AKASHINDA! Musa naye alikuwa na Mungu mlimani kwa siku 40- AKASHINDA...
  7. Omutwale

    Wajue Mashujaa na Maadui wa Katiba Mpya, Madui wa Muungano/Mashujaa wa Zanzibar!

    Watanganyika tuna ugonjwa mbaya sana wa kupuuzia tahadhari za msingi wakati zinapotolewa na kusahau haraka kiasi kwamba tunashindwa kukumbuka hata baada ya madhira kutufika> Tunakuwa utadhani hatukuwahi kupewa tahadhari. Kwenye suala la Katiba na Uhai wa Muungano sitasahau kamwe jinsi Tundu...
  8. Omutwale

    Tunawasaidiaje Wanasiasa Waongo na Wanaosahau Haraka?

    Hii status ya Zitto leo Facebook imeniifanya kurejea posts na kauli zake mbalimbali za mwaka 2012. Soma mwenyewe kwa umakini na tumia kauli ya Zitto kwamba "Wanasiasa wote ni waongo" kufanya maamuzi! cc: Ben Saanane, Yericko Nyerere, sixgates, CHAMVIGA, Chris Lukosi, Nicholas
  9. Omutwale

    Usipitwe na Makala Hii ya Mayage S. Mayage-Raia Tanzania!

    Wiki iliyopita nilipata wasaa wa kusoma Gazeti jipya lililoingia mtaani kwa kishindo. Si Gazeti jingine bali Raia Tanzania. Ni Gazeti Dada la Raia Mwema. Lina safu zinazovutia na waandishi makini (nisijue kama kweli na wao wote hutenda wanachokiandika!) Makala ya kwanza iliyonivutia kwenye...
  10. Omutwale

    CHADEMA Mnachukua Uamuzi Sahihi Huku Mkiruhusu Dhambi Kuu Kutendeka Hadharani?!

    Omutwale ni miongoni mwa wana-JF na watanzania wa kwanza kabisa kutangaza kukosa imani na uanachama wa Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA toka mwaka 2010 rejea post hii ya Tarehe 31st August 2010 Saa 17:54: Pamoja na hayo, Omutwale akijua kama tulivyo binadamu wote; hatujakamilika, mwanzoni mwa mwaka...
  11. Omutwale

    Usahaulifu wa Wananchi, Mtaji—Nafiki wa Wanasiasa: Kabila Lingekuwa Kadi ya Chama Ningejiungeua Leo

    Wandugu yaani leo nimekuja na hadithi ya the best stupidy in the world. Bado akili na macho yangu havijashirikiana vema kukubali kuamini unafiki wa siasa za kitanzania. Firahuni wangu anakuja kwa hadithi ya mgao wa pikipiki 102 uliofanywa na Mbunge wa Bukoba. Niwe muungwana kwanza nampongeza...
  12. Omutwale

    Hongera January Makamba, Poleni Vijana wa Vyuo Vukuu!

    Jumamosi niliposoma uzi wa Marais na wawakilishi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu wanakutana Morogoro leo niliandika hivi: Leo nimesoma gazeti la Mwananchi niliyotarajia yametimia kama yalivyotabiriwa. Vyuo vikuu wampigia Makamba debe la urais Waazimia kuunda timu ambayo itamshawishi...
  13. Omutwale

    Mhadhiri Bashir Ally (UDSM) Atafutiwe Jimbo!

    Bwana Bashiru Ally, Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bwana Bashiru Ally ni miongoni mwa vijana waliofuzu makuzi ya kitaaluma na kijamii kutoka kwa watu wanaoheshimika na historia ya nchi hii; ile ambayo haikuhifadhiwa rasmi vitabuni. Enzi zetu tukiwa masomoni Bwana Bashir na Omar Ilyas ni...
  14. Omutwale

    Lady Jaydee Wataje tu Hadharani.....!

    Komandoo, Anaconda, Lady Jadee Ebu kionee huruma kizazi cha vijana wanaoangamia kwa biashara ya hao jamaa unaowajua kwa majina na tena una ushahidi wao, Tuonee huruma wazazi tunaoharibikiwa na watoto, ndugu na jamaa na kila siku hatuishi kukanyaga mochwari na makabulini kuzika, Onnyesha...
  15. Omutwale

    Kodi Nyingine Mpya Hiyoooo!

    Nahisi kama vile nchi iko katika kinyang'anyilo cha kumlipa mdeni ambaye wananchi hawamjui na wala hawajambiwa kama yupo na wanadaiwa naye! Kwa nini kodi na ada zimepaa ghafla namna hii? Bima ya magari juu, Road License/Motor vehicle bei juu, kusajiri Biashara bei juu, leseni za Biashara bei juu...
  16. Omutwale

    Picha ya Leo: Wana-ccm Katika Mgao!

    cc: Ritz, chama, njiwa, Ng'wamapalala, HAMY-D, Lizaboni, babayako, Uncle Deo CHAMVIGA,
  17. Omutwale

    Kiswahili Chazidi Kupaa Kimataifa: Badilisha by Dr Jose Chameleone-American Girls Version

    Wachina wakija tunaangaika kuongea Kiingereza kwa kigugumizi, tunadai Kiswahili hakikubaliki na wala hakiuziki. Tuendelee kuamini hivyo hivyo wakati Wakenya wakizidi kulamba mikataba minono nje ya Afrika kufundisha Kiswahili. Kwa taarifa Kiswahili kwa sasa kinafundishwa katika zaidi ya vyuo...
  18. Omutwale

    Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Je, wajua kwa nini Idd Azan alisitisha mbembwe za kuunga mkono kampeni "Vua Gamba" kwa aibu na kwa kuomba msamaha? Posted 24th May 2011 13:08 SOURCE: IPASHE JUMAPILI - http://www.ippmedia.com/frontend/?l=30067 Una fununu ya ugomvi kati ya Madabiba na Azzan? Soma comment hii ya 21st May 2013
  19. Omutwale

    CHADEMA Inavyoporomoka kwa Kasi!

    .......toka kwa watoto, vijana na sasa kwa Wazee! Mamvi umetisha....Haileman!
Back
Top Bottom