Wabunge 8 wa bunge la 1965 walifukuzwa bungeni sababu ya kudai mfumo wavyama vingi akiwemo Joseph kasela bantu wa tabora na modestus chogga wa iringa kusini na waliwekwa vizuizini mpaka wakafa
Kamanda umeelekewa,ila suala la matawi hadi mashinani la msingi sana na pia kadi za CHADEMA ni hadimu sana halafu watu wanahitaji kwa wingi ni changamoto sana
Hakuna hoja yenye mashiko hapo,Zitto umejimaliza mwenyewe na mbio zako za sakafuni,jitathmini wewe mwenyewe kabla yake kuwasonda vidole wengine,wanasiasa vijana mnalewa sana sifa jiangalieni na kati yenu hakuna wa kumpa nchi wote wahuni tu.
pawa mangwana sa hivi anatangaza kiss fm kipindi kinaitwa dunia duara na usiku vile vipind vya salam za kukesha,hop ni huyo nilimsikiliza rfa kipind cha sitasahau na aliongelea hayo matukio ya mazingaombwe mnayozungumza
mharir mmoja leo ameandika tahariri ya pongez kwa huyo wazir,ingawa mimi siungi mkono nimpongeze kwa kupoteza roho za watu wasio na hatia kwa uzembe huo ni upuuzi,kwa kule CUBA huyu waziri tunanyonga tunahitaji wanaharakati wawajibikaji km CHE,R.I.P the butcher of LA CABANA'
Ndugu wana JF kuna dhana mbalimbali zimeibuka juu ya sababu ya mabadiliko ya sheria ya mafao ya kujitoa, dhana hizi ni
1. Inasemekana NSSF na PPF wanajiandaa kuwachotea CCM fedha za kampeni 2015
2. Inasemekana baada ya serikali kukopa fedha nyingi kwenye haya mashirika yaani NSSF na PPF sasa...
Shida ya zitto analewa sana sifa nilwahi kuongea kwa muda mref wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwan kirumba hapa mwanza vijana walikua wakimshabikia agombee urais atapata urais kwan anakibalika na umati ilikua mkubwa sana alionekana kuhamanika na kuvimba bichwa na saikolojia yake kwa kumtazama...
Hongera kamanda,fanyeni kwa maendeleo ya busega ila msifike hatua ya kugombea jimbo kwa kuutaka ubunge na kupigana majungu hamtaeleweka na wananchi,until victory forever
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.