Search results

  1. T

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Hapa msabato hawezi elewa wanafundishwa mtu akifa anakaa kaburini hadi siku ya mwisho. Hawawezi kuelewa kwamba kuna watu baada ya kufa wako mbinguni, wanatumia maandiko ya Ellen White kupimia maneno ya Yesu na mitume wake badala ya kinyume chake, yaani hawatumii maandiko kupimia mawazo ya nabii...
  2. T

    Shamba linauzwa urefu meters 177 upana meters 120 (zaidi ya ekari 4) bei milioni 6 tu

    Rafiki hii ni ndani ya manispaa ya Temeke, jijini Dar
  3. T

    Shamba linauzwa urefu meters 177 upana meters 120 (zaidi ya ekari 4) bei milioni 6 tu

    Sio mbali sana ukitoka Dar es salaam Zoo, unafika Mwasonga halafu unakwenda kilometer 2 tu. ni karibu na shule ya msingi Kichangani. Barabara imetengenezwa vizuri sana na inapita hapo hapo karibu na shamba.
  4. T

    Shamba linauzwa urefu meters 177 upana meters 120 (zaidi ya ekari 4) bei milioni 6 tu

    Shamba hili liko Tundwi Songani karibu na barabara itokayo Kibada Kwenda Tundwi Songani (umbali wa kilometa 26 toka Kibada). Kwa mawasiliano piga simu 0787 110 117 au email: tubuni@hotmail.com
  5. T

    Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi

    Mkuu nina kiwanja karibu kabisa na mji mpya unaojengwa na NSSF kule Kigamboni ambapo nyumba zaidi ya 280 tayari zimekamilika. kina ukubwa wa sq. meters 2280. Bei yake 25,000,000 tu, kama bado unahitaji nipigie 0787 110 117
  6. T

    Kiwanja kinauzwa kigamboni karibu na nyumba mpya za nssf

    Kiwanja kina ukubwa wa 2280 square meters. Kimetenganishwa na sehemu ya NSSF kwa barabara tu. Kimepimwa na kina hati. Bei yake 25,000,000. tu. Kwa mawasiliano piga simu 0787 110 117. email: tubuni@hotmail.com
Back
Top Bottom