Shamba linauzwa urefu meters 177 upana meters 120 (zaidi ya ekari 4) bei milioni 6 tu

Tg2012

Member
Jun 21, 2012
6
2
Shamba hili liko Tundwi Songani karibu na barabara itokayo Kibada Kwenda Tundwi Songani (umbali wa kilometa 26 toka Kibada). Kwa mawasiliano piga simu 0787 110 117 au email: tubuni@hotmail.com
 
teh teh nahisi ni maeneo ya kigamboni ndani ndani....

Sio mbali sana ukitoka Dar es salaam Zoo, unafika Mwasonga halafu unakwenda kilometer 2 tu. ni karibu na shule ya msingi Kichangani. Barabara imetengenezwa vizuri sana na inapita hapo hapo karibu na shamba.
 
Back
Top Bottom