Search results

  1. md4doctor2000

    Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

    roselina john ...Karibu sana! La prochaine fois, faites-le moi savoir quand vous êtes dans la ville. Je peux vous fournir un transport pour vous - avec un conducteur ou vous conduisez vous-même - ce sera votre choix! md
  2. md4doctor2000

    Msaada kulea mtoto mchanga asie na Mama

    Mkuu Msomali_ tafadhali fika katika kituo cha afya au hospital na onana na daktari wa watoto, atakupa maelezo ya kina ya namna ya kumlea mtoto, kuanzia aina ya maziwa hadi jinsi ya kumwangalia na kujua kama ana shida yoyote! All the best mkuu
  3. md4doctor2000

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Mkuu The Tomorrow People Asante sana kwa uchambuzi mzuri. Kwa ujumla sioni tatizo kwa serikali kununua moja ya hizo "Terrible Teens" kwasababu zimefanyiwa modification ya kutosha kuweza kufanya kazi iliyokusudiwa ingawa masafa yake yatapungua kwa miles 1000. Tatizo kubwa hapa ni kununua...
  4. md4doctor2000

    Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    Hongera sana mkuu kwa fasihi iliyotukuka!
  5. md4doctor2000

    Nani kasema wale waliomdhibiti Nape walikuwa ni askari?

    Kweli wewe ni illegal migrant ;):)
  6. md4doctor2000

    Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

    Swali la msingi.....hizo views wanazinunua kwa nani? Labda tuanzie hapo!
  7. md4doctor2000

    Kwacha ya Zambia inaipiku shilingi ya Tanzania kwa mbali

    Sikumbuki ni mwaka gani lakini Zambia walii-devalue kwacha yao, ndiyo maana unaona exchange rate ipo hivyo. Ghana walishafanya hivyo pia.
  8. md4doctor2000

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Tafadhali niunge 0715 038 840
  9. md4doctor2000

    It's Time to Grow, Manze

    EngineerLMG hivi nyie wenyewe hamna forum kubwa? Mbona mko busy na forum za wenzenu?
  10. md4doctor2000

    Nimekutana na Supermarket ya Wachina mafichoni Dar es Salaam

    Mkuu kwanini usitoe ripoti katika mamlaka husika? At least utakuwa umefanya sehemu yako kama mzalendo!
  11. md4doctor2000

    Kamoja tu

    Kamoja
  12. md4doctor2000

    Biashara za kwenye instagram na totoz

    Someone with insta or fb totoz directory??
  13. md4doctor2000

    Msamaha wa kodi ya kiinua mgongo kwa Wabunge, Mawaziri, Rais, Wakuu wa Mikoa na Wilaya wafutwa

    Ndicho walichokuwa wanataka lakini kimsingi imekula kwao!
  14. md4doctor2000

    Makapuku Forum

    JF Makapuku :):)
  15. md4doctor2000

    Ubongo kids: Kipindi bora zaidi kwa watoto

    Nakubaliana na wewe mkuu, ni kipindi/katuni bora kwa watoto. Mama Ndege na Uncle T are my favourites!
Back
Top Bottom