Search results

  1. M

    TAFAKARI: NEEMA YA MACHUNGU ya IRENE ISAKA KUTOKA NSSF

    wanaita AFFORDABLE HOUSES,
  2. M

    Kumjaribu mwenzio!ni upendo,wivu au ujinga,je ni sawa?

    Hizo bangi tu, timiza wajibu na majukumu yako katika mahusiano hayo ya kujaribiana ni upuuzi.
  3. M

    Najuta nimezaa nje ya ndoa, ushauri wako muhimu sana

    kaka hapo kweli tatizo, labda utuambie, huyo bi mdogo anajua kama umeoa maana asije akawa anajua utamuoa. ila la muhimu meleze mkeo, naamini atakuelewa tu.
  4. M

    Breaking neeeeewz

    taratibu wanakuja, mwishowe watasema ukimaliza six may, june jkt then chuo mwaka unaofuata kama enzi za mwalimu. HII WIZARA YA ELIMU INAMABADILIKO KILA WAZIRI MPYA ANAPOINGIA. HII NDO AFRICA, EVERY IMPOSSIBLE IS POSSIBLE IN TANZANIA
  5. M

    Freemason wanywa damu ya gadafi

    Ukitaka kujua freemasons na habari zao jaribu kuwasoma kwanza na sio kuangalia habari za magazeti ya udaku, upumbafu mtupu. Gadaff kafia pale darajani hiyo damu saa ngapi wakaikinga? Au haikauki? Freemason hao wa shigongo ni wakuuzia magazeti yake ya udaku, upuuzi kwelikweli kusikia mtu...
  6. M

    Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

    Kuna rafikiangu aliambiwa hayo maneno naye akaamini kama wewe, alianza kulipa ada ya form five kwa loan board hadi chuo pale cbe dom, aliponisimulia nilimuuliza atafanyaje siku akikuta hana bikra? Nawe utafanyeje? Msichana alimaliza chuo akammwaga mshkaji na keshaolewa singida kwasababu alijua...
  7. M

    'Kuonyeshana nguo za ndani?!'

    Hapo tofauti ni huyo hausegirl kaiona chupi ikiwa imevaliwa lakini chupi zenu zote anazijua idadi hadi rangi hata harufu zenu anazijua, shame on you.
  8. M

    Serikali ilipokosea katika madai ya madaktari

    Nchi nyingi zilipata ukombozi wa kweli baada ya uonevu wa kiwango cha juu kwa wananchi uliofanywa na serikali, ukisoma historia ya ufaransa na mfalme louis, baadhi ya nchi za kiarabu africa. Na tanzania uhuru wetu upo jirani zaidi ya ilivyotabiriwa. Thanx god, nimeishi kuuona ukombozi wa kweli...
  9. M

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    mwanangu yupo chekechea, akiandika kwa lugha nyepesi hivyo nampa adhabu,
  10. M

    Haji Ramadhan, maamuzi yako yanahitaji pongezi za dhati!!!

    itakuwaje pale baba mzazi atakapoomba ruhusa ya kumuona mwanae? au atamuasili?? haya maamuzi mengine ni magumu sana na yanahitaji kufikiri kwa mapana sana kabla ya kuamua. Miye kumfumania tu ni kosa kama dhambi ya kumdhihaki roho mtakatifu(haina msamaha) naye ataamua ikiwa atanifumania...
  11. M

    Onyo wanawake hapa msiingie hapa hatari:aina mpya ya kisonono(Gonorrhoea) yasambaa duniani

    shukrani Rocky kwa taarifa, UGONJWA HUO UMEENEA SANA MAENEO YA MKOA WA KAGERA HASAHASA KARAGWE, RAFIKI ZANGU WENGI SANA WAMEUGUA NA UPONAJI WAKE SI WA UHAKIKA MAANA WANASEMA WAKITIBU NA KUPONA HUWA UNAJIRUDIA BAADA YA SIKU TATU HADI NNE MARA BAADA YA KUMALIZA DAWA. MMOJA ALIPEWA DAWA ZA AINA...
  12. M

    Wenzi mwalifamu hili?!

    Tatizo mtambuzi tuliaambiwa kushiriki lile tendo kabla ya ndoa ni uzinzi, kwahiyo kuiombea dhambi ni kama kutenda ile dhambi tuliyoambiwa haisameheki(kumdhihaki roho mtakatifu)
  13. M

    Nikaenda kumzika ibilisi wangu....!

    Mke wangu yupo masomoni, napita tu jamani
Back
Top Bottom