Search results

  1. K

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Nyie mnaojifanya hamtaki hiyo sikukuu ya kesho si muende huko kazini, msituletee uchawi wenu hapa. Mnahisi mtanyanyua uchumi wa nchi kwa siku moja tu, tutoleeni upuuzi wenu. Mara ngapi mnatoa visingizio vya uongo msiende kazini halafu leo mnatubwekea vumbi lenu hapa. ------- wakubwa nyie...
  2. K

    Waziri Philip Augustino Mulugo: SIJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA INAYOENDELEA

    Kwakweli sijawahi kuona ---- kama huyo Mulugo..Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba hatofanywa chochote kile....Tanzania inazidi kufa huku tunaingalia.
  3. K

    Waziri Philip Augustino Mulugo: SIJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA INAYOENDELEA

    kwa mitindo hiyo sidhani kama hata anajua gazeti lina maana gani.
  4. K

    Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    CCM yote imejaa uozo kama huyo kingwhatever..hata siwezi kushangaa
  5. K

    Picha: Hivi ndivyo ilivyo kuwa bungeni Feb 04, 2013

    I salute and support people's power mpaka ccm atoke...#swine #
  6. K

    Nassari aambiwa aache Kucopy na Kupaste

    naona kama nguvu inahitajita maana diplomasia imeshindikana..hao maspika watembezewe vichapo hata kama bush alivopigwa na kile kiatu.
  7. K

    Chonde chonde Rais Kikwete Jihadhari na hawa Wachina

    ajihadhari nao kivipi wakati ndo anawauzia nchi yetu hivooo..
  8. K

    Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Mtoto wa nyoka ni nyoka...Mzazi mwingine yeye ndo hakumwekea mwanae foundation nzuri lakini na yeye utamsikia anamlaumu mwanae huyo huyo.
  9. K

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    Napenda hivi..PEOPLE'S POWER AT WORK..na huyo alokamatwa na ungo wake akimfata bibi achinjwe kabisa... nimefurahi sana baada ya kuona hadi watu wa Mtwara nao wanaanza kukosa imani na hata huyo mmakonde mwenzao Hawa Ghasia
  10. K

    Mji wa Kigamboni kujengwa kwa trillion 11 wakati bajeti yetu ni trillion 14

    Hizo hela zote sijui zinapelekwa Tanzania gani??? na kwa ajili gani? Top 25 Recipient Countries of U.S. Foreign Aid FY 2010 Reported in $US millions, Obligations[6] Country Economic Assistance FY 2010, $US millions Military Assistance FY2010, $US millions U.S. Total Economic and Military...
  11. K

    Makamba ataka TTCL ichunguzwe na CAG

    Ndo anajikomba kwetu hivoo..msimuamini huyo anajaribu kufumba watu macho..wajanja wanaelewa
  12. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kibaha ajiunga CCM

    Karuka mkojo akanyage nnya...Akirudi tena CHADEMA hamna kumpokea msaliti hyo..na tukishinda Wasaliti na mafisadi wote wanyongwe mnazi mmoja..SWINE
  13. K

    Natamani Mwakyembe na Magufuli wawe rais na waziri mkuu respectively!

    Chunguza ukweli wa unayoongea.. wanatoa hao wanaweka watu zao..Tena ni bora huyo Magufuli....La maana CCM wapigwe vibuti 2015...CHADEMA oyeeee
  14. K

    Nawaza ndoto niliyoota jana

    Sa tope litatokaje mdomoni?...Unazidi kutema vumbi a.k.a sushi
  15. K

    Nawaza ndoto niliyoota jana

    umetema vumbi
  16. K

    Wageni Wengine Noma

    unamchania.."chai ipo tayari"
  17. K

    "serekare" yaleta twiga "daslama"

    haaaaatchuuuuuuu..(chafya)..YANI HAPO UMEPOST VUMBI LENYEWE HADI TUNAPATA MAFUA.............CHONDE CHONDE VUMBIII NOMAAAAAA
  18. K

    Misemo ya Mpoki jamani!

    hata aliyegundua raba anaogea ndala......
  19. K

    what a coincidence?

    mama & baba
Back
Top Bottom