Nadhani hao wajamaa(swiss) ni maconman wamesikia kuna gesi na mafuta wakishasema hivyo jamaa wataogopa kuumbuka watasaini mikataba ya chiefu mangungo wa msovero faster
Acheni unyanyapaa hata kama anatumia ARV si yeye cha msingi jadilini ni jinsi gani mta mvua gamba mvalishe gwanda msonge mbele. Msije mkaingia kwenye kauli dhaifu wanaopata ukimwi ni viherehere vyao
Wewe ndio bure kabisa mimi nazungumzia kumuaga kamanda hujui bila CHADEMA madhubuti nchi ingeyumba na ikumbukwe BOB ndio miongoni mwa waasisi wa chama kibaya kipi. Sidhani kuwa mtu akifariki chama husika kinapata political gain kwa kufanya maombolezo yake. Mungu ampe pumzisho la amani mzee wetu...
Kwa msiba huu tunaomba mkutano CDM square katika maombolezo ya mpiganaji Bob Makani kwani makamanda huwa hawaombolezi bali wanasonga mbele katika safari ya ukombozi ningeshauri Bob aagiwe hapo Jangwani aka CHADEMA Square wengi tupate fursa ya kumuaga.
Pia tupate muda wa kujuza kazi na imani ya...
Katika maswala kisheria Badwel hana hatia mpaka mahakama itakavyo amua vinginevyo, lakini ukweli unabaki pale pale jamaa amevuta mkwanja ndio maana amekamatwa alikutwa na kidhibiti.........hapo ni moja jumlisha moja...... Swali ni je?? ni kweli ilikuwa ni rushwa au jamaa alikuwa amemkopesha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.