Search results

  1. G

    Mtanzania: Serikali yanuka damu

    Serikali yanuka damu NA WAANDISHI WETU MLOLONGO wa matukio ya kigaidi dhidi ya raia yanayotekelezwa na watu ambao vyombo vya dola vimeshindwa kuwabaini na kuwatia nguvuni, yameichafua serikali kwa kiwango cha kuivika taswira ya mamlaka inayonuka damu. Matukio ya raia kutekwa na kuteswa kinyama...
  2. G

    Gazeti la RAI kutoka kila siku kwa muda wa siku 90

    Teh teh teh wamefunga Mwanahalisi limekuja MAWIO chezea wewe
  3. G

    Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

    Jamani someni vizuri, Mwandishi kaandika hivi video hizo mpya, zinawaonyesha makada wa Chadema na watu wengine ambao hawajafahamika....sasa kosa liko wapi? aliyepost kapoteza maana na kanukuu vibaya mimi nimelisoma hilo gazeti
  4. G

    Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

    Shida moja, watu wanasahau taaluma yao ya uandishi wa habari, kuna kosa gani muandishi wa habari kuzungumza na Shonza kwa nia ya kutafuta ukweli juu ya yale anayoyasema? habari ikiandikwa upande mmoja tunakuwa ni wa kwanza kuwalaumu waandishi.... sasa ukitafutwa na upande wa pili nalo ni tatizo...
  5. G

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Mkuu alisema siku ya rufaa atakuwa na majukumu mengine nafikiri alisema atakuwa nchini India
  6. G

    To day is International Day of Peace, Je Tanzania kuna amani?

    Towards the ideals of peaceEach year the International Day of Peace is observed around the world on 21 September. The General Assembly has declared this as a day devoted to strengthening the ideals of peace, both within and among all nations and peoples. Sustainable Peace...This year, world...
  7. G

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Ndugu zangu nimeona hichi kitu tushirikiane mawazo kwani kimeendelea kuzua mjadala mpana kila kukicha ni suala la matumizi ya njia za uzazi wa mpango. mimi ninauliza ni salama au ndio kama baadhi wanavyosema kwamba ni njia ya kutupunguza waafrika kwa sababu tunazaliana sana. pili najiuliza huu...
  8. G

    Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

    Ni CBA wakubwa iko pale maeneo ya Jamana, sijui jamaa mabomu waliweka wapi
  9. G

    Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

    Buriani Mwangosi Wale waliokuua wameshindwa kuwadhibiti majambazi yaliyovamia benki iliyoko barabara ya Nyerere mapema leo asubuhi badala yake wamekula kona.
  10. G

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Baadhi ya watangazaji ni 'makanjanja' ujanja ujanja tu
Back
Top Bottom