Search results

  1. Fursa Pesa

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Ili mtaani tuheshimiane tu hata kama Kila mmoja ana changamoto zake za ugumu wa maish.
  2. Fursa Pesa

    Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira

    Yawezekana uzalendo ukawa juu SEMA tu resources zikawa hazipo. Kwa kuwa tayari tunayo miundombinu wezeshi wale think tank wa Nchi wafanyie kazi ushauri na tafiti za namna ya kutokomeza umaskini. Sio sifa kumtawala maskini kwa kumnyima huduma muhimu. Ni dhambi kubwa kwa Mwanasiasa kudhani ni...
  3. Fursa Pesa

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Usisahau na machinga wenye kutembeza vitu mtaani. Kwa ufupi Nchi iko salama 7/24 Hrs
  4. Fursa Pesa

    Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira

    Ni wazo zuri sana. Kuliko kufunga mitambo eti umeme imekuwa mwingi ni bora kushusha bei ili viwanda vingi vijengwe kutoa ajira Kwa wananchi. Sambamba na hilo vifaa vinavyotumia umeme vitaongezeka Kwa wingi ili wananchi wapate unafuu wa nishati Kwa matumizi ya nyumbani ili kuokoa mazingira...
  5. Fursa Pesa

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Yuko sahihi Mkuu,kwa Mkoa wa Kagera Megawatt 21 ni sawa kwa kuwa Umeme mwingi hutumika katika viwanda vya Kahawa na Sukari.
  6. Fursa Pesa

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Miaka ya 1947 iliyopita USA na UK waliwahamisha Wayaudi kutoka Ulaya kuwapeleka Palestine. To date hali ni mbaya sana Gaza. Natarajia ujio wa Wakimbizi hao siku zijazo utaigawa Congo DRC.
  7. Fursa Pesa

    Bashungwa Atoa Mabati 519 Ujenzi wa Bwalo, Serikali Kujenga Mabweni Shule ya Sekondari ya Bugene - Karagwe

    MH.Waziri wa Ujenzi ni mchakapazi hodari sana. Hongera kwake pamoja na familia yake,anastahili kuendelea kuwatumia wananchi na Taifa Kwa Ujumla.
  8. Fursa Pesa

    Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Nilitarajia majibu mazuri ya namna hii. Kama itafaa CCM iwaondoe wale wote wenye mambo ya kijinga ili kuondoa sintofahamu nyingi zinazokihusisha Chama na mambo ya kijinga. Hoja ya wakubwa kutukanwa isiwe ya Kisiasa bali iwe ni hoja hasa kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama kudeal na hao watu...
  9. Fursa Pesa

    Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Waliowatengenezea Taifa hilo ndio wanawasaidia kwa malengo ya kupanua himaya,ushawishi na hata kuitawala Dunia kupitia hao kwa kuwa Historia ya uwepo wao hapo zamani ipo haijalishi Imani yao.
  10. Fursa Pesa

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Hakuna shida yoyote hapo,Jukwaa lilikuwakutanisha wanaisasa na Viongozi wa dini katika Kumbukizi ya Mwanasiasa. Ni sahihi kwani sadaka ni sehemu shukrani na wala sio kama sehemu ya ukuu baina ya mamlaka hizo mbili. Mbona hamshangazwi na tukio la mojawapo ya Viongozi wa dini kupokelewa na...
  11. Fursa Pesa

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Ni katibu Mkuu Msomi anaendesha Chama katika weledi wa hali ya juu. Sio Kila mara hoja za vituko na majungumajungu na kusimanga wengine ziwe ndio hoja hodari.. Msingi wa Imani yeyote ni kuwa na watu wenye akili timamu na wenye uwezo wa kufanya maamuzi.
  12. Fursa Pesa

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Vetting system ni muhimu sana kwa Viongozi Wakuu. Ni muhimu watumishi Serikalini wasiwe wanasiasa. Kwa mfano Mh.Rais Dr.Samia angelimtaka Mh.Makonda kusema pale pale hao wanaohusika,nadhani ingeleta picha tofauti kabisa na kuaribu dhima nzima ya Kumbukizi ya Hayati Waziri Mkuu Edward M Sokoine...
  13. Fursa Pesa

    Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

    Shida sio Nchi yao,tatizo ni mpaka wa Nchi ya Congo kuwa na raia wa karibia Nchi zote za maziwa makuu zilizo karibu na Mpaka mrefu wa Congo. Suluhisho liwe la kuwatambua raia hao kama sehemu ya Congo au kuimega Congo ili raia wawe na na mamlaka kamili ya namna yao ya kuishi. Ni vigumu sana kwa...
  14. Fursa Pesa

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    CCM ni Chama kinachofuata ushauri wa wanachama wake,nadhani ni vizuri kwa vyama vingine kuiga mfano huu. Yawezekana Mbinu ya kufuata ushauri ni mojawapo ya sababu ya CCM kuendelea kubaki madarakani. Nawapongeza wote walioaminiwa na kuteuliwa na Chama,lakini ni muhimu kwao kuona teuzi hizo sio za...
  15. Fursa Pesa

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Sababu ni ajira alizozitengeneza lakini pia mapato Kwa maana ya Kodi. Hata hivyo inaweza kuwa ni sindicate ya kuongeza bei ya bidhaa kwa visingizio vya mwenye kiwanda.
  16. Fursa Pesa

    Top Ten viwanja vya ndege vinavyohudumia Abiria wengi Tanzania

    Hata wao ambazo ni sana walianza kama Bongo
  17. Fursa Pesa

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Kuendesha Nchi na si kufanya biashara.
  18. Fursa Pesa

    Wakili Mwita kaandika utaratibu wa kikatiba unaotakiwa kufuatwa pale Rais akiugua kimwili au kiakili

    Kifo ni jambo zito sana, taarifa kwa Umma nyakati zile hazikuruhusu. Ni sawa na familia kupokea taarifa nzito nyakati za misiba
Back
Top Bottom