Search results

  1. Masota

    Tanzania yatengwa rasmi na nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC )

    EAC bila Tanzania hakuna kitu ila hawa jamaa sio wenzetu ukiangalia kwa karibu wote sisi ndio tumewaweka madarakani lakini sasa hivi wanatuona nyanya mbichi but tutafanya biashara na mataifa mengine
  2. Masota

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Acha kujenga hoja sisizo na mashiko kutawaliwa kubaya sana and Nyerere alikuwa na maono ya mbali ila kwa wakati ule taifa halikuwa tayari kwa mfano unajua wakati anachukua NChi kulikuwa na madaktari wangapi
  3. Masota

    Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

    Aliyekuwa anamiliki Kilimanjaro nasikia ndie mmliki wa bilila
  4. Masota

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Jamani ebu tuangalie Haya mambo upya Kama vipi jeshi la Polisi liunde upya
  5. Masota

    Ridhiwani Again

    Kazi upo Kama kweli dogo ameamua kutumaliza kabisa
  6. Masota

    Arusha morden school yauzwa bilion 4 kwa kanisa katoliki.

    Hapa ndipo tofauti inapooneka wakati wengine wanakiria kugoma sensa wageni wananunua shule.
  7. Masota

    Lusinde: Mimi mbunge nina laini moja, 'Mama Ntilie' ana laini nne za nini?

    Kuwa na line nne Si hoja swala Ni kupunguza gharama za simu hawa sasa wanaaza kuwa wajinga vitu vya msingi hapana makampuni kibao hayalipi kodi badala ya kuyabana yalipe kodi unazungumzia line za simu hii ni akili kweli au matope.
  8. Masota

    Wakwepa kodi hawa hapa!

    Hivi kazi ya serikali nini hasa Kama hawa hawalipi kodi
  9. Masota

    LIVE bungeni: Waziri wa fedha anasoma bajeti ya serikali 2012/2013

    Hii Ni bajeti ya mwananchi wa kawaida au waheshimiwa sana
  10. Masota

    NEWS ALERT: DR.MWAKYEMBE: USIWAAMBIE...nitafunguka MWENYEWE..

    Tunataka kazi Si maneno na nguvu ya soda.
Back
Top Bottom